Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamume akataa kumpigia mamake kura India

Mwanamume mmoja nchini India ameshangaza wengi baada ya kukataa kumpigia kura mamake uchaguzini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Soulja Boy kumpigia kura Kanye West

2011 American Music Awards - ArrivalsCALFONIA, Marekani

MSANII wa muziki wa rap nchini Marekani, Deandre Cortez maarufu Soulja Boy, ameweka wazi maamuzi yake ya kumpigia kura ya ndiyo rapa, Kanye West, endapo atafanikiwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha urais mwaka 2020.

Soulja Boy alisema ana imani kubwa na Kanye West na siyo kweli kwamba analipa fadhila mara baada ya Kanye West kumtetea dhidi ya mkongwe wa muziki wa rap, Ice-T alipomponda kwa madai kwamba hajui kurap.

“Nimebahatika kuwa karibu na Kanye West, jamaa ana akili...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Mtazame Happiness Watimanywa akifafanua jinsi ya kumpigia kura

Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ambaye kwa sasa yupo kwenye kinyang’anyiro cha Miss World nchini Uingereza, amewatumia ujumbe Watanzania jinsi anavyoendelea na mashindapo pamoja njia za kumfanya aibuke kidedea na taji hilo. Pia ameaitumia ujumbe Bongo5 akisema: Asanteni sana kwa wote mnaoendelea kuniunga mkono. Hadi sasa tunafanya vizuri Miss World. Tunaweza kufanya vizuri zaidi.”

 

9 years ago

Dewji Blog

Shytown waombwa kumpigia kura kwa wingi NASSIB FONABO BSS 2015

NabooMshiriki wa Shindano la BSS 2015, Nassib Fonabo pichani

Na Andrew Chale-modewjiblog

Wadau  wa Mkoa wa Shinyanga  wameombwa kujitokeza kwa wingi kumpigia kura  Nassib Fonabo ambaye ni mwakilishi pekee anayeiwakilisha Mkoa  katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) kwa mwaka huu wa 2015.

Fonabo ambaye anatumia namba  BSS 103, Ambapo unaweza kumpigia kura kwa wingi kwa kuandika BSS103 kwenda namba 15522.  Kumpigia kura kwa wingi Fonabo zitamwezesha kijana huyo kuwa na nafasi...

 

10 years ago

Bongo5

BBA Hotshots: Endelea kumpigia kura Laveda wa Tanzania kumuokoa asitoke Jumapili hii

Mshiriki mmoja wa Tanzania yupo kwenye hatari ya kutoka kwenye msimu wa tisa wa shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ weekend hii, ambaye ni Laveda (Irene La Veda). Hivyo njia pekee ya kumuokoa abaki kwenye jumba la ‘kaka mkubwa’ ni kura yako. Washiriki wawili kati ya tisa watafunga mizigo yao siku ya Jumapili. Washiriki waliopigiwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Idris kushinda $300,000 za Big Brother Jumapili hii? Afrika Mashariki yajiunga kumpigia kura kwa fujo!

Wanasema ni vyema kutumainia mema na kujiandaa kwa mabaya na wengine wanaonya kuwa ukiwa na matarajio makubwa usishangae kufedheheshwa kwa kiasi kikubwa pia. Pamoja na misemo hiyo, ni wazi tuna kila sababu ya kuwa na matumaini kuwa kijana wetu Idris Sultan anaweza kushinda taji la Big Brother Africa, Hotshots. Tunaona jinsi ambavyo mastaa na watu […]

 

11 years ago

Michuzi

HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA

IMG-20140727-WA0011Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani.
Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera anayeshiriki kinyang'ayiro cha kumtafuta Miss Africa USA. Mtangazaji wa Mimi Na Tanzania Hoyce Temu ambaye pia ni Miss Tanzania 1999 yupo nchini Marekani na amefanya mahojiano na mrembo huyo.Usikose kuangalia marudio ya mahojiano hayo kwenye kipindi cha "Mimi na Tanzania" Jumamosi ya tarehe 2 August ,2014...

 

11 years ago

GPL

HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA‏

Pichani ni Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu nchin Marekani. Miss Tanzania 1999 ambaye pia ni Mtangazaji wa kipindi cha "Mimi na Tanzania" Hoyce Temu akipata ukodak na Miss Tanzania USA, Joy Kelemera baada ya mahojiano maalum nchini Marekani. Let us all wish her all the best!… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa Simba amlilia mamake

Mtoto wa simba aliwaongoza askari wa kulinda wanyama kwenda ulipo mwili wa mama yake ambaye alikuwa ameuawa mbugani India

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka 2 amuokoa mamake

Mtoto mwenye umri wa miaka 2 pekee amepokea sifa kedekede kwa kuokoa maisha ya mamake kwa kuwapigia simu wahudumu wa afya baada ya mamake kuzimia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani