Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwananchi FC yasaka ubingwa EA

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi ameikabidhi bendera ya Taifa, timu ya Soka ya Kampuni ya Mwananchi Commnications Limited (Mwananchi FC), na kuitaka ipambane kikamilifu na kuhakikisha inatwaa ubingwa wa Afrika Mashariki kwenye Michuano ya Kombe la Standard Chartered.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Azam yasaka ubingwa kwa Sh500 mil

‘Maisha yanakwenda kasi’, huo ndio ukweli baada ya mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Azam kutumia Sh565 milioni kusajili nyota sita akiwamo mchezaji ghali zaidi msimu huu, Leonel Saint-Preux.

 

11 years ago

BBCSwahili

WHO yasaka mikakati kupambana na Ebola

Wataalamu wa maswala ya Afya ulimwenguni kutoka WHO wanakutana kujadili hatua mpya za kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

Mwananchi

Man United yasaka heshima

Klabu ya Manchester United  inarejea uwanjani  kusaka ushindi wa kwanza wa Ligi Kuu England chini  ya kocha  Louis van Gaal wakati watakapoifuata   Sunderland, Jumapili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yasaka sahihi ya Benzema

Arsenal wameripotiwa kujiandaa 'kuvunja benki' kwa lengo la kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yasaka watuhumiwa wa ujambazi

JESHI la Polisi mkoani hapa limeanzisha msako mkali wa kuwatafuta watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi waliovamia familia moja na kumuua kijana Ng’hayiwa Lengwa (14). Mbali na mauaji hayo, majambazi...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yasaka kocha England

>Pamoja na makocha wengi kujitokeza kuwania nafasi ya kuinoa Yanga, uongozi wa klabu hiyo umeelekeza nguvu zao Uingereza kwa ajili ya kurithi mikoba ya kocha Mholanzi, Ernie Brandts.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars yasaka nafasi ya tatu

MATUMAINI pekee ya wapenzi na mashabiki wa soka wa Tanzania bara, ni kuona timu yao ya Kilimanjaro Stars leo inaifunga Zambia katika mechi ya kuwania nafasi ya tatu ya michuano...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yasaka wahujumu mafuta

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles MwijageSERIKALI imeanza msako wa mtu au watu waliohusika na hujuma ya mafuta, kwa kutouzia wateja wa reja reja, pamoja na wanaosambaza ujumbe mfupi wa maandishi, kutisha kuwa mafuta hayatapatikana hadi leo.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam FC yasaka saini ya Mzambia

Dar es Salaam. Matajiri wa Chamazi, Azam wameanza harakati za kuisaka saini ya mshambuliaji wa Power Dynamos ya Zambia, Jimmy Ndhlovu anayetajiwa kutua nchini Jumatano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani