Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandosya: Lowassa asisite kuniunga mkono

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya amemuomba mgombea mwenzake katika kinyang’anyiro cha kutafuta ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea kupitia CCM, Edward Lowassa asisite kumuunga mkono kama walivyofanya watangaza nia wengine ili mambo yaishe mapema.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FLORA MBASHA: NAKUSHUKURU WEWE UNAYENIOMBEA KUNIUNGA MKONO KATIKA HUDUMA YANGU

Nina kila sababu ya kukushukuru wewe mdau wangu ambaye umekuwa bega kwa bega nami katika kuiombea huduma yangu hii ya uimbaji. Ninakushukuru sana maana nimeona matunda kutokana na maombi yako. Mungu azidi kukubariki na kukulinda katika shughuli zako za kila siku pamoja na familia yako. 

Flora Mbasha

Maombi yako yamefanyika baraka katika kazi yangu hii mpya ambayo iko sokoni kwa sasa inayoenda kwa jina la NIPE NGUVU YA KUSHINDA. Nimemuona Mungu akinipa Nguvu za kushinda katika maisha yangu,...

 

10 years ago

Habarileo

Membe: Nitamuunga mkono Mwandosya

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.MAWAZIRI wawili wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Bernard Membe na Profesa Mark Mwandosya ambao wote wanaomba kugombea urais kupitia CCM kuungana katika harakati zao za kuwania kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya Rais katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

KUNDI LA VIJANA LA 4U MOVEMENT LATANGAZA KUUNGA MKONO UKAWA, AWALI LILIKUWA LIKIMUUNGA MKONO LOWASSA

Kiongozi wa Kundi Vijana wa 4U Movement, liliokuwa likimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Hemed Ali akizungumza na waandishi wa habari jjini Dar es Salaam leo Julai 18, 2015 kuhusu msimamo wao wa kuungamkono UKAWAVijana wa Kundi la 4U Movement, liliokuwa likimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, washangilia baada kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu msimamo wao wa kuungamkono UKAWA.KUNDI la vijana la 4U Movement, lililokuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

PROF. MARK JAMES MWANDOSYA AWASHUKURU WOTE WALIOMUUNGA MKONO KABLA NA BAADA YA KUTANGAZA NIA.

Profesa Mark James  Mwandosya " Katika nyakati mbalimbali mataifa, na binadamu pia hupita katika vipindi vya majaribu (testing times). Majaribu hayo ni njia moja ambayo naamini Mwenyezi Mungu, muweza wa yote, humuimarisha mtu na huimarisha Taifa iwapo tunaweza kuyamudu". 
Hiki ndio kipindi tunachopita sasa kama Taifa. Kwa maneno hayo napenda, kwa unyenyekevu mkubwa, kuwashukuru, na kwa dhati kabisa, wale wote mliotuunga mkono kabla na baada ya kutangaza nia, wakati wa na baada ya kuchukua...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwandosya amuita Lowassa kambi yake

Dodoma. Profesa Mark Mwandosya, ambaye anawania kuteuliwa na CCM kugombea urais, amemtaka Edward Lowassa kujiunga na kambi yake kwa kuwa makada wengine wanne kwenye mbio hizo wanamuunga mkono.

 

9 years ago

Raia Mwema

Ushindi wa Chadema ni ‘hujuma na mkono’ wa Lowassa

SIRI ya ushindi mkubwa wa kishindo kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Uchaguz

Paul Sarwatt

 

10 years ago

Mwananchi

Sau, APPT kumuunga mkono urais Lowassa

Wakati vyama vinne vinavyounda Ukawa, vimempitisha Edward Lowassa kugombea urais, vyama vingine vya Sau na APPT-Maendeleo vimetangaza kumuunga mkono mgombea huyo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwinyi ataka Lowassa, Mengi waungwe mkono

Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi ameitaka jamii ya wafugaji wa Kimasai kuunga mkono jitihada za waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Mwenyekiti wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi kuikomboa kielimu jamii hiyo kwa kuhakikisha watoto wa kike wanakwenda shule badala ya kuolewa mapema.

 

10 years ago

Vijimambo

Kwanini naunga mkono kwa Mh Edward Lowassa kukaribishwa UKAWA : Ismail Jussa

Mjadala mkubwa umezuka kuhusu mwelekeo wa ushirikiano wa vyama vikuu vya upinzani vinavyounda UKAWA na hatua ya kumkaribisha Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa, ili kushirikiana kuiondosha madarakani CCM pamoja na mfumo wake wa kikandamizaji na kifisadi ulioambatana na kiburi kikubwa cha watawala.

Baada ya kusoma maoni na mitazamo ya watu mbali mbali, nataka na miye nieleze mtazamo wangu kuhusiana na masuala hayo lakini zaidi nikirudi nyuma katika miaka ya 1991 na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani