Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanza, Shinyanga waanza uandikishaji

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva.TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kufanya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia mfumo wa ‘Biometric Voters Registration (BVR)’ katika mikoa minne.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji waanza na changamoto

>Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapigakura kwa kutumia mfumo wa teknolojia ya kisasa wa BVR (Biometric Voter Registration), umeanza kwa kusuasua na kasoro nyingi.

 

10 years ago

Habarileo

Uandikishaji waanza vyema Ukerewe

UANDIKISHAJI katika Daftari la Kudumu la Wapirakura katika wilaya ya Ukerewe, Mwanza umenza vyema juzi na tayari umeanza kuzidi lengo la siku.

 

10 years ago

GPL

UANDIKISHAJI BVR WAANZA LEO DAR

Baadhi ya wakazi wa Kijitonyama wakiwa katika Shule ya Msingi Sinza-Maalum kwenye foleni tayari kwa kujiandikisha. Wananchi wakiwa kwenye foleni katika zoezi la kujiandikisha.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uandikishaji serikali za mitaa waanza kwa kusua

JANA ikiwa ni siku ya kwanza ya uandikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14 mwaka huu, Tanzania Daima imebaini mwitikio wa wananchi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mchakato wa uandikishaji wa wanachama “Tanzania Bloggers Network” ( TBN ) waanza rasmi

IMG-20150310-WA0045

Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini ‘Tanzania Bloggers Network’ – TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi.

Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa mfululizo. Kwa wa kazi wa Dar es Salaam wenye sifa ambao wanataka kujiunga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni mtikisiko wa nyimbo za Injili Shinyanga, Mwanza

MALKIA wa muziki wa injili Afrika, Rebecca Malope wa Afrika Kusini, yu miongoni mwa waimbaji kutoka nje ya Tanzania ambao Jumapili ya Mei 4, watakuwa katika Uwanja wa CCM Kirumba,...

 

10 years ago

Michuzi

AWAMU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI WA WACHEZAJI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY WAANZA RASMI LEO

 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori (katikati) akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Klabu ya Real Madrid, Rayco Ghasia (kulia).  Mzee Augustino Mtauka akisaini fomu za usajili wa kituo kipya cha mchezo wa soka kinachomilikiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kushirikiana na klabu ya Real Madrid ya Hispania.. Mzee Mtauka alikuwa akisaini fomu hizo kwa niaba ya mjukuu wake Godfrey Oscar (katikati), usajili uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume, Ilala jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wa Tamasha la Pasaka kuibukia Shinyanga, Mwanza

MALKIA wa Muziki wa Injili Afrika, Rebecca Malope wa Afrika Kusini anatarajiwa kutua nchini kesho tayari kuwasha moto katika onyesho maalumu kwa wapendwa na wadau wa Kanda ya Ziwa, ukiwa...

 

10 years ago

TheCitizen

Shinyanga, Mwanza suffer power outages for 3 weeks

Power outages have interrupted a lot of economic activities in Shinyanga municipality and some parts of Mwanza Region for three weeks now.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani