Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwema atua ‘madoa’ kwa Mangu

RAIS Jakaya Kikwete, jana alimuapisha Ernest Mangu kuwa Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), akichukua mikoba ya Said Mwema ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria baada ya kufikisha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

IGP MANGU ATUA KITETO, NI KUFUATIA MAUAJI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akizungumza na wananchi wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto mkoani Manyara leo Jumanne Novemba 18, 2014. IGP ametua wilayani humo kufuatilia yeye mwenyewe migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyopelekea kutokea kwa vifo vya wananchiMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia...

 

11 years ago

Mwananchi

Tumia njia za asili kuondoa madoa

Uwepo wa mabaka na madoa usoni ni tatizo linalowakabili watu wengi na kuwafanya kuhangaika huku na kule kutafuta dawa ili kukabiliana nalo, lakini hujikuta wakiishia kutumia vipodozi vyenye kemikali ambavyo huishia kuharibu ngozi za wengi wao.

 

11 years ago

Habarileo

Askofu ataka madoa ya amani kufutwa

ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Eusebius Nzigilwa amesema kwa mwaka huu yapo matukio yamejitokeza na kuweka doa katika suala la amani ya nchi hasa katika maeneo ya kidini, kisiasa na kiuchumi.

 

11 years ago

Michuzi

msamaria mwema wa uingereza atuma misaada kwa mzazi wa mapacha wanne wa mbeya

Misaada ya hali na mali imeanza kumiminika kwa ajili ya Aida Nakawala (25) mkaazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, ambaye alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo (Quadruplets) usiku wa kuamkia Mwaka mpya wa 2014 katika Hospitali ya Wazazi ya META jijini Mbeya.   Msamaria mwema wa Uingereza, Bi Gladness Sariah, ametuma maboksi mawili yenye nguo na vitu kadhaa vya watoto, ambavyo vimewasili salama katika ofisi za Michuzi Media Group (MMG) inayoendesha Globu ya...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa IGP Mangu

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU


Simu: 255-22-2114512, 2116898

E-mail: press@ikulu.go.tz

Tovuti : www.ikulu.go.tz              

Faksi: 255-22-2113425


OFISI YA RAIS,

      IKULU,

 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi hapa Nchini IGP Ernest Mangu kufuatia kifo cha msaidizi wake Inspekta - Gerald Ryoba...

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU ATOA HESHMA KWA ASKARI WALIOUAWA WILAYANI MKURANGA

Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Jumbe Mangu akitoa heshma za mwisho kwa miili ya askari wawili waliouawa na watu wasiojulikana huko vikindu wilaya ya mkuranga, mkoani Pwani hivi karibuni. Shughuli za kuiaga miili hiyo zilifanyika jana katika maeneo hospitali ya barabara ya kilwa jijini Dar es Salaam . Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi. nspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Jumbe Mangu akitoa heshma za mwisho kwa miili ya askari waliouawa na watu wasiojulikana huko vikindu wilaya...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: IGP MANGU AFANYA MABADILIKO KWA BAADHI YA MIKOA

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa vikosi na vitengo mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi.
Miongoni mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na aliyekuwa kamanda wa Mkoa wa Ruvuma Kamishna msaidizi mwandamizi (SACP) Deusdedit Nsimeki  anayekwenda kuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, Aliyekuwa kamanda wa Polisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani