Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti aliyefungwa miaka 15 aachiwa

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Husna Mwilima KIJIJI cha Msitu wa Mbogo wilayani Arumeru mkoani Arusha, jana kililipuka kwa furaha baada ya viongozi wanne wa kijiji hicho, akiwemo mwenyekiti, kuachiwa huru kwa dhamana na Mahakama.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA AACHIWA KWA DHAMANA DODOMA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania, Johnson Minja, (mwenye koti la kahawia), akisindikizwa na mawakili na wafanyabiashara wenzake. MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja ameachiwa kwa dhamana leo jijini Dodoma baada ya kushikiliwa kwa siku sita kufuatia kuondolewa dhamana ya awali kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana. Minja ameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwandishi aliyefungwa aachiliwa Burundi

Makumi ya maelfu ya raia wameandamana katika mji mkuu wa Burundi ,Bujumbura wakimuungano mkono mwandishi maarufu aliyefungwa

 

11 years ago

Habarileo

Mtanzania aliyefungwa maisha alegezewa masharti

MAHAKAMA nchini Marekani imetoa uamuzi kwamba Mtanzania, Khalfan Khamis Ghailan (40), aliyefungwa kifungo cha maisha kwa mashambulizi dhidi ya Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam, ana haki ya kuwasiliana na ndugu zake.

 

11 years ago

Mwananchi

Aliyefungwa pamoja na Mandela aeleza walivyoishi kifungoni

Shujaa wa kukabili siasa za ubaguzi wa rangi, Nelson Mandela amezikwa huku aliyekuwa rafiki yake, Ahmed Kathrada akisema wakati wakiwa kifungoni, yeye na wafungwa wengine walikuwa wanamheshima kwa kumuita “Kaka mkubwa.”

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa kijiji jela miaka 20 kwa ujangili

Mwenyekiti wa Kijiji cha Mgomba, Kata ya Mgomba, Jumanne Ligonge amehukumiwa jela miaka 20 au kulipa faini ya Sh49.1 milioni baada ya kupatikana na vipande 43 vya meno ya tembo kinyume cha sheria.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kumbukumbu ya miaka 3 ya Mwenyekiti wa Global Publishers Mzee Bukumbi yafanyika Bupandwamhela

Picha ya marehemu James Bukumbi ikiwa mbele ya waumini wakati wa ibada leo.

Watoto wa marehemu mzee Bukumbi, Eric Shigongo (wa kwanza kulia), Marsha Bukumbi (wa kwanza kushoto) na baadhi ya ndugu wakiweka shada la maua katika kaburi la baba yao.

Eric Shigongo akielezea historia ya baba yake, marehemu James Bukumbi wakati wa ibada ya kumbukumbu ya miaka mitatu tangu kifo chake.

Padri George Nzungu ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mt. Kizito, Kabila, Magu akiongoza ibada ya kumbukumbu ya...

 

9 years ago

Vijimambo

KUMBUKUMBU YA MIAKA 3 YA MWENYEKITI WA GLOBAL PUBLISHERS MZEE BUKUMBI YAFANYIKA BUPANDWAMHELA LEO

Picha ya marehemu James Bukumbi ikiwa mbele ya waumini wakati wa ibada leo.Watoto wa marehemu mzee Bukumbi, Eric Shigongo (wa kwanza kulia), Marsha Bukumbi (wa kwanza kushoto) na baadhi ya ndugu wakiweka shada la maua katika kaburi la baba yao.Eric Shigongo akielezea historia ya baba yake, marehemu James Bukumbi wakati wa ibada ya kumbukumbu ya miaka mitatu tangu kifo chake.
Padri George Nzungu ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mt. Kizito, Kabila, Magu akiongoza ibada ya kumbukumbu ya miaka...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZINDUA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM...

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CCM DK. KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA‏

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto Mwanjelwa jijini Mbeya tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani