MWILI WA HAYATI MZEE MGAWE UMEWASILI TANZANIA
Maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania wakipokea mwili wa hayati mzee Eddis Mgawe ulipowasili leo Jumatatu kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam Tanzania (JIA) kutoka Washington Dc. Mzee Mgawe alikuwa ni kamishna mstaafu wa Jeshi la Polisi nchini na alifariki dunia wiki iliyopita nchini Marekani alikokuwa anawatembelea wanae.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMWILI WA MZEE EDDIS MGAWE NA WANAFAMILIA WAWASILI TANZANIA SALAMA
Jeneza lililobeba mwili wa Mzee Eddis Mgawe ambaye ni Kamishna mstaafu wa Jeshi la Polisi likiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere siku ya Jumatatu April 6, 2015. Mwili wa marehemu uliondoka Washington, DC siku ya Jumapili April 5, 2015 na watoto wa marehemu akiwemo mama waliondoka Jumamosi April 4, 2015 wote wamefika salama Tanzania na wanazidi kuwashukuruni sana kwa upendo na ukarimu wenu.Askari wa Jeshi la Polisi wakibeba jeneza lenye mwili wa Mzee Sddis Mgawe kutoka...
10 years ago
VijimamboIBADA YA MISA NA KUAGA MWILI WA MZEE EDDIS MGAWE SILVER SPRING, MARYLAND
Jeneza lililobeba mwili wa mpendwa Mzee Eddis Mgawe likiwa mbele ya Kanisa la Bethel World Outreach Church Lililopo Silver Spring, Maryland ilikofanyika Ibada ya misa ya kumuaga Mzee Eddis Mgawe siku ya Alhamis April 2, 2015 na Watanzania DMV na wengine kutoka majimbo mengine kujumuika pamoja na familia wakiwemo wafanyakazi wa Voice Of America (VOA) wakiongozwa na mkuu wa kitengo hicho cha idhaa ya kiswahili Dr. Hamza Mwamoyo. Mtoto wa marehemu, Mary Mgawe ni mfanyakazi wa idhaa ya Kiswahili...
10 years ago
MichuziSHIRIKISHO LA MCHEZO WA BAO TANZANIA (SHIMBATA) KUMUENZI HAYATI MZEE KAWAWA.
Na Mdau Sixmund J.B
Shirikisho la mchezo wa Bao nchini (SHIMBATA) nilatarajia kufanya Tamasha kubwa la mchezo huo kwa ajili ya kumuunze aliekuwa mlezi wa mchezo huo hapa nchini Hayati Mzee Rashidi Mfaume Kawawa kama sehemu ya kumbukumbu ya miaka mitano ntangu afariki Dunia.
Tamasha hili ambalo litaudhuriwa na wanafamilia ya Mzee Kawawa wakiwemo watoto wake Mh Vita R. Kawawa Mbunge wa Namtumbo (CCM) na Mh Zainabu R. Kawawa Mbunge viti maalumu (CCM) linatarajiwa kufanyika hapo kesho...

MichuziMWILI WA WAZIRI WA ZAMANI MEJA JENERALI KIMARIO UMEWASILI TAYARI KWA MAZISHI
Meja Jenerali Mstaafu Muhiddin Kimario.
Mwili wa aliyekuwa Waziri mwandamizi kwenye serikali ya awamu ya kwanza na pili Meja Jenerali (mstaafu) Muhiddin Mfaume Kimario umewasili leo mchana kwa ndege ya shirika la Ethiopia kutoka nchini India alikokuwa akipata matibabu tayari kwa mazishi siku ya Jumamosi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Mwili wa Meja Jenerali Kimario uliwasili jana saa saba mchana kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JKNIA) na ...

VijimamboHARAMBE YA MZEE EDDIS MGAWE DMV JUMATANO
Mzee Eddis Mgawe Enzi ya uhai wake
Familia ya Mgawe na Malinda inawataarifu harambee ya mpendwa Mzee Eddis Mgawe ili kusaidia na hatimae kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani kwa mazishi, gharama za kusafirisha mwili ni $13,955. Harambee itafanyika siku ya Jumatano April 1, 2015 harambee itafanyika 1702 Pinecone Ct, Bowie, MD 20721 kuanzia saa 11:30 jioni (5:30 pm)
Matarajio ya familia na kamati ni kusafirisha mwili siku ya Ijumaa yote inategemea msaada michango yetu na...

BBCSwahili31 Mar
Mjukuu wa hayati mzee Mandela ahukumiwa
Mjukuu wa hayati Mzee Nelson Mandela amepatikana na hatia ya kusababisha majeraha
10 years ago
Michuzimwili wa hayati kepteni John Damiano Komba wawasili Songea
Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM marehemu John Damiano Kumba ukipokelewa katika uwanja wa ndege wa Songe na umati mkubwa wa waombolezaji wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mhe.Mwambungu,Mhe.John Nchimbi,Mbunge wa Songea Mjini,na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(Kazi Maalum)Mark Mwandosya,kulia. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake Lituhi, Wilaya ya Nyasa, Kesho.
10 years ago
VijimamboHARAMBEE YA MZEE EDDIS MGAWE DMV DOLA 3,000 ZAPATIKANA, WATANZANIA OKLAHOMA NAO WACHANGA JUMLA YA MICHANGO NI 13,1OO
Mary Mgawe(kuli) akiwa mwenye huzuni huku akilia kwa uchungu wa kufiwa na mpendwa baba yake marehemu mzee Eddis Mgawe aliyefariki siku ya Jumapili March 29, 2015 usiku , kushoto ni Jasmine Rubama akimfariji wakati wakiwa kwenye harambee iliyofanyika siku ya Jumatano na kuwezesha kukusanya jumla ya dola 3,000 na kufanya jumla ya fedha zilichangishwa wakiwemo wanaDMV na Watanzania Oklahoma kufikia dola 13,100 lengo lilikua 13,955 kiasi kilichobaki ni dola 855 Familia na kamati inatoa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania