MWILI WA MZEE EDDIS MGAWE NA WANAFAMILIA WAWASILI TANZANIA SALAMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-XBe9t0w730Y/VSK4UZiYenI/AAAAAAADhMQ/RL2IHU2hHAs/s72-c/ec284e5423b61457bd37b427b3fcb960.jpg)
Jeneza lililobeba mwili wa Mzee Eddis Mgawe ambaye ni Kamishna mstaafu wa Jeshi la Polisi likiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere siku ya Jumatatu April 6, 2015. Mwili wa marehemu uliondoka Washington, DC siku ya Jumapili April 5, 2015 na watoto wa marehemu akiwemo mama waliondoka Jumamosi April 4, 2015 wote wamefika salama Tanzania na wanazidi kuwashukuruni sana kwa upendo na ukarimu wenu.
Askari wa Jeshi la Polisi wakibeba jeneza lenye mwili wa Mzee Sddis Mgawe kutoka...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboIBADA YA MISA NA KUAGA MWILI WA MZEE EDDIS MGAWE SILVER SPRING, MARYLAND
10 years ago
VijimamboHARAMBE YA MZEE EDDIS MGAWE DMV JUMATANO
Familia ya Mgawe na Malinda inawataarifu harambee ya mpendwa Mzee Eddis Mgawe ili kusaidia na hatimae kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani kwa mazishi, gharama za kusafirisha mwili ni $13,955. Harambee itafanyika siku ya Jumatano April 1, 2015 harambee itafanyika 1702 Pinecone Ct, Bowie, MD 20721 kuanzia saa 11:30 jioni (5:30 pm)
Matarajio ya familia na kamati ni kusafirisha mwili siku ya Ijumaa yote inategemea msaada michango yetu na...
10 years ago
Michuzi07 Apr
MWILI WA HAYATI MZEE MGAWE UMEWASILI TANZANIA
![IMG-20150406-WA0061](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/04/img-20150406-wa0061.jpg?w=714)
10 years ago
VijimamboHARAMBEE YA MZEE EDDIS MGAWE DMV DOLA 3,000 ZAPATIKANA, WATANZANIA OKLAHOMA NAO WACHANGA JUMLA YA MICHANGO NI 13,1OO
Mary Mgawe(kuli) akiwa mwenye huzuni huku akilia kwa uchungu wa kufiwa na mpendwa baba yake marehemu mzee Eddis Mgawe aliyefariki siku ya Jumapili March 29, 2015 usiku , kushoto ni Jasmine Rubama akimfariji wakati wakiwa kwenye harambee iliyofanyika siku ya Jumatano na kuwezesha kukusanya jumla ya dola 3,000 na kufanya jumla ya fedha zilichangishwa wakiwemo wanaDMV na Watanzania Oklahoma kufikia dola 13,100 lengo lilikua 13,955 kiasi kilichobaki ni dola 855 Familia na kamati inatoa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-oBwRadxDgAw/Va0PNp5DYFI/AAAAAAAD0E0/uoEthg2jDkk/s72-c/d066240baba4eac217b97cc5b50b2b54.jpg)
VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV NA WAWAKILISHI WAO WAWASILI SALAMA TANZANIA NA KUTOA MSAADA WA MADAWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-oBwRadxDgAw/Va0PNp5DYFI/AAAAAAAD0E0/uoEthg2jDkk/s640/d066240baba4eac217b97cc5b50b2b54.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/--apcGHaA9_w/Va0PKCEUQ7I/AAAAAAAD0D8/geYc_8AG9Mk/s640/4a6c010224e7a391cd0baa5487a5a344.jpg)
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Pacha waliotenganishwa wawasili salama Kyela
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RqdQyZgpKtKjjEZwOmxIR5Cj9dCyG1FEcZzQwHpgFNq77VYKAPPSEzXeRkgIXW3xkmKjAUtOcc2Vyjh2umI5xcKWlH7Yxj1j/satahommage.jpg?width=650)
MWILI WA SATA WAWASILI ZAMBIA
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Mwili wa bilionea Mrema wawasili
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Mwili wa Dk Mgimwa wawasili nchini