Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HARAMBE YA MZEE EDDIS MGAWE DMV JUMATANO

 Mzee Eddis Mgawe Enzi ya uhai wake

Familia ya Mgawe na Malinda inawataarifu harambee ya mpendwa Mzee Eddis Mgawe ili kusaidia na hatimae kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani kwa mazishi, gharama za kusafirisha mwili ni $13,955. Harambee itafanyika siku ya Jumatano April 1, 2015 harambee itafanyika 1702 Pinecone Ct, Bowie, MD 20721 kuanzia saa 11:30 jioni (5:30 pm)

Matarajio ya familia na kamati ni kusafirisha mwili siku ya Ijumaa yote inategemea msaada michango yetu na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HARAMBEE YA MZEE EDDIS MGAWE DMV DOLA 3,000 ZAPATIKANA, WATANZANIA OKLAHOMA NAO WACHANGA JUMLA YA MICHANGO NI 13,1OO


 Mary Mgawe(kuli) akiwa mwenye huzuni huku akilia kwa uchungu wa kufiwa na mpendwa baba yake marehemu mzee Eddis Mgawe aliyefariki siku ya Jumapili March 29, 2015 usiku , kushoto ni Jasmine Rubama akimfariji wakati wakiwa kwenye harambee iliyofanyika siku ya Jumatano na kuwezesha kukusanya jumla ya dola 3,000 na kufanya jumla ya fedha zilichangishwa wakiwemo wanaDMV na Watanzania Oklahoma kufikia dola 13,100 lengo lilikua 13,955 kiasi kilichobaki ni dola 855 Familia na kamati inatoa...

 

10 years ago

Vijimambo

MWILI WA MZEE EDDIS MGAWE NA WANAFAMILIA WAWASILI TANZANIA SALAMA

Jeneza lililobeba mwili wa Mzee Eddis Mgawe ambaye ni Kamishna mstaafu wa Jeshi la Polisi likiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere siku ya Jumatatu April 6, 2015. Mwili wa marehemu uliondoka Washington, DC siku ya Jumapili April 5, 2015 na watoto wa marehemu akiwemo mama waliondoka Jumamosi April 4, 2015 wote wamefika salama Tanzania na wanazidi kuwashukuruni sana kwa upendo na ukarimu wenu.Askari wa Jeshi la Polisi wakibeba jeneza lenye mwili wa Mzee Sddis Mgawe kutoka...

 

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA MISA NA KUAGA MWILI WA MZEE EDDIS MGAWE SILVER SPRING, MARYLAND

Jeneza lililobeba mwili wa mpendwa Mzee Eddis Mgawe likiwa mbele ya Kanisa la Bethel World Outreach Church Lililopo Silver Spring, Maryland ilikofanyika Ibada ya misa ya kumuaga Mzee Eddis Mgawe siku ya Alhamis April 2, 2015 na Watanzania DMV na wengine kutoka majimbo mengine kujumuika pamoja na familia wakiwemo wafanyakazi wa Voice Of America (VOA) wakiongozwa na mkuu wa kitengo hicho cha idhaa ya kiswahili Dr. Hamza Mwamoyo. Mtoto wa marehemu, Mary Mgawe ni mfanyakazi wa idhaa ya Kiswahili...

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA HAYATI MZEE MGAWE UMEWASILI TANZANIA

IMG-20150406-WA0061Maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania wakipokea mwili wa hayati mzee Eddis Mgawe ulipowasili leo Jumatatu kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam Tanzania (JIA) kutoka Washington Dc. Mzee Mgawe alikuwa ni kamishna mstaafu wa Jeshi la Polisi nchini na alifariki dunia wiki iliyopita nchini Marekani alikokuwa anawatembelea wanae.

 

10 years ago

Vijimambo

WANA DMV WAHANI MSIBA NYUMBANI KWA KINA MARY MGAWE TANZANIA



Mona, Libe wakiwa na Mary mgawe, Tino, Lukia Mtingwa na Lazia nyumban kwa marehemu

Mona, Bernad, Augustino na Libe msibani

 

11 years ago

Michuzi

DMV YAFANYA MISA YA KUMBUKUMBU NA KUOMBOLEZA KIFO CAROLINE MWAISELAGE DMV

Misa ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya Jumamosi March 22, 2014 College Parka Maryland kwa ajili ya maerehemu Caroline Mwaiselage aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani aliyekutwa na mauati alipokua amekwenda Tanzania march 7, 2014 mwaka huu. Kushoto ni mume wa marehemu Chris Muhoka na kulia Martin Koroso aliyekuja toka Michigan  Watoto wa marehemu.  Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV unapenda kuwajulisha watanzania wote kukaa mkao wa kula , kwa ajili ya sherehe za muungano zitakazofanyika, Jumamosi April 25, 205.
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...

 

10 years ago

Michuzi

Mgawe akiri kuusaini Mkataba wa kibiashara kati ya TPA na Kampuni ya China Communications Company Ltd (CCCCL)

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii
Aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Ephraim Mgawe  amekiri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliusaini mkataba wa kibiashara kati ya TPA na Kampuni ya China Communications Company Ltd (CCCCL).
Mgawe amekiri kuusaini mkataba huo wa kibiashara leo wakati akisomewa maelezo ya awali (PH)  na Wakili wa Serikali, Pius Hilla mbele ya Hakimu Mfawidhi  wa mahakama hiyo, Isaya Arufani.
Akisomewa maelezo ya awali yanayohusiana na shtaka  la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani