Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwili wa kijana Denis Casmiry wakutwa ufukweni jijini dar

MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Kambangwa,Denis Casmiry mwenye umri wa miaka 16 (pichani) amekutwa kwenye ufukwe wa Salander Bridge akiwa amefariki dunia
Akizungumza na Ripota wetu huku akionekana kuwa na masikitiko makubwa,Baba Mzazi wa Mtoto huyo aliejitambulisha kwa jina la Casmiry,amesema kuwa walipata taarifa ya mtoto wao kupotea toka Jumamosi Desemba 20,2014 ambapo inadaiwa kuwa aliondoka nyumbani kwao akiwa na marafiki zake kwenda kwenye Mazoezi ya viungo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZUNGU WAKUTWA WAMEKUFA CHUMBANI JIJINI DAR

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
WAZUNGU wawili ambao ni mume na mke wanaodaiwa kuwa ni raia wa Afrika Kusini, wamekutwa wamekufa chumbani kwao katika nyumba waliyokuwa wakiishi maeneo ya Slipway, Masaki jijini Dar es Salaam Jumatano hii. Moja kati ya majeneza yaliyohifadhiwa miili ya marehemu yakitolewa ndani ya chumba hicho. Chanzo cha kuaminika kimeeleza kuwa wawili hao ambao walikuwa wakifanya kazi katika baa iitwayo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwili wa kichanga wakutwa umefukiwa kwenye gofu Songea

DSC02590

Kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela.

Na Nathan Mtega wa Demashonews, Songea.

Pamoja na kuwepo kwa harakati na utetezi kuhusiana na haki za watoto ikiwemo ya kuishi lakini bado wilayani Songea mkoani Ruvuma kumeendelea kuwepo kwa vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinavyoambatana na utupaji wa watoto wachanga.

Vitendo hivyo ni pamoja na kitendo kilichotokea jana katika mtaa wa Lizaboni mjini Songea ambapo mwili wa mtoto mchanga anaedaiwa kuwa na umri wa miezi sita ulikutwa...

 

11 years ago

GPL

KIJANA AKUTWA AMEJERUHIWA VIBAYA KIMARA JIJINI DAR

Kijana alivyokutwa eneo la Kimara-Mwisho akiwa amejeruhiwa vibaya. ...Akipelekwa kwenye gari la polisi.…

 

11 years ago

GPL

MWILI WA DK MGIMWA WAAGWA JIJINI DAR

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa enzi za uhai wake. Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa kwa sasa unaagwa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa maziko. Dk. Mgimwa alifariki dunia Januari 1 mwaka huu akiwa Hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. ...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA FIDELIS MANYOTA WAAGWA JIJINI DAR

Mhariri Mtendaji wa GPL, Richard Manyota akipewa pole na baadhi ya waombolezaji waliofika hospitali ya Temeke kuaga mwili wa marehemu Fidelis Manyota. Baadhi ya ndugu wakilia kwa huzuni.…

 

9 years ago

Vijimambo

MWILI WA MAREHEMU DK KIGODA WAPOKELEWA JIJINI DAR

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizungumza na vyombo vya habari jinsi alivyomfahamu aliyekuwa waziri wa Viwanda na Biashara, marehemu Dk Abdallah Kigoda wakati wa mapokezi ya mwili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam jioni hii, ukitokea India ambako alipatwa na mauti. Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, na Mgombea ubunge Jimbo la Handeni kupitia CCM, marahemu Dk Abdallah Kigoda, ukihamishiwa kwenye gari lingine wakati wa...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA BALOZI FLOSSY WAAGWA JIJINI DAR

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu, Frossie Chiyaonga. (PICHA NA OMR) MAKAMU wa Rais, Dk. Gharib Bilal ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Flossy Gomile-Chidyaonga katika Ukumbi wa Mwl. Nyerere uliopo jijini Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa nje na ndani ya nchi...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA AMINA NGALUMA ULIVYOPOKELEWA JIJINI DAR

Mwili wa mwimbaji Amina Ngaluma aliyefariki akiwa nchini Thailand ukipokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar usiku wa Mei 23, 2014.

 

9 years ago

Michuzi

MWILI WA MAREHEMU DKT. ABDALAH KIGODA WAPOKELEWA JIJINI DAR

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizungumza na vyombo vya habari jinsi alivyomfahamu aliyekuwa waziri wa Viwanda na Biashara, marehemu Dkt. Abdallah Kigoda wakati wa mapokezi ya mwili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini  Dar es Salaam jioni hii, ukitokea India ambako alipatwa na mauti. Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, na Mgombea ubunge Jimbo la Handeni kupitia CCM, marahemu Dk Abdallah Kigoda, ukihamishiwa kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani