Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZUNGU WAKUTWA WAMEKUFA CHUMBANI JIJINI DAR

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
WAZUNGU wawili ambao ni mume na mke wanaodaiwa kuwa ni raia wa Afrika Kusini, wamekutwa wamekufa chumbani kwao katika nyumba waliyokuwa wakiishi maeneo ya Slipway, Masaki jijini Dar es Salaam Jumatano hii. Moja kati ya majeneza yaliyohifadhiwa miili ya marehemu yakitolewa ndani ya chumba hicho. Chanzo cha kuaminika kimeeleza kuwa wawili hao ambao walikuwa wakifanya kazi katika baa iitwayo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WANANDOA WAKUTWA WAMEFARIKI CHUMBANI INDIA

Wanandoa James Gaskell (kushoto) na Alexandra (kulia) wamekutwa wamefariki ndani ya chumba karibu na jengo la Taj Mahal, nchini India.…

 

10 years ago

CloudsFM

Wafanyakazi wa TANESCO, Mbeya mke na mume wakutwa wamekufa ndani ya nyumba yao.

Watu wawili wafanyakazi shirika la Umeme Tanesco Mkoa wa Mbeya Ndugu Uswege Mwankuge (58) na Jusio Uswege (48) ambao ni mtu na mke wake wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba yao mtaa hayanga RRM jijini mbeya.Tukio hilo la kusikitisha limetokea leo jijini hapa ambapo inadaiwa kuwa wawili hao wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba yao usiku wa kuamkia Marchi 3 mwaka huu.Akizungumiza tukio hilo Balozi wa mtaa huo Jofrey Katuli amesema yeye alipigiwa simu majira ya saa 4 asubuhi kuwa Ndugu Uswege...

 

10 years ago

Michuzi

Mwili wa kijana Denis Casmiry wakutwa ufukweni jijini dar

MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Kambangwa,Denis Casmiry mwenye umri wa miaka 16 (pichani) amekutwa kwenye ufukwe wa Salander Bridge akiwa amefariki dunia
Akizungumza na Ripota wetu huku akionekana kuwa na masikitiko makubwa,Baba Mzazi wa Mtoto huyo aliejitambulisha kwa jina la Casmiry,amesema kuwa walipata taarifa ya mtoto wao kupotea toka Jumamosi Desemba 20,2014 ambapo inadaiwa kuwa aliondoka nyumbani kwao akiwa na marafiki zake kwenda kwenye Mazoezi ya viungo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wagiriki watatu mbaroni Dar kwa uhalifu wa mtandao ‘Cyber Crime’ wakutwa na ATM Card zaidi ya 10

hacker-downloading-information-off-a-computer

 

 

Pichani ni picha ya Mtanndao ni namna ya wahalifu wa kimtadao wanavyoingilia mfumo wa computer yako na kuchukua vitu muhimu. 

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa watatu raia wa kigeni kwa makosa yanayohusiana na wizi wa mtandao kwa lengo la kuiba  katika vyombo vya fedha kama  mabenki, maduka ya kubadilishia fedha (Bureau de Change) au kuingilia miamala ya fedha zinazosafirishwa na wateja kutoka nje na ndani ya nchi.

Polisi wa kikosi Maalum cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya 1,900 wamekufa na Ebola

Zaidi ya watu 1,900 wanakisiwa kufariki kutokana na mlipuko wa Ebola katika kanda ya Afrika Magharibi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji wamekufa maji wakitokea LIbya

Wahamiaji wengi kutoka Libya wamepoteza maisha yao baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kiteto wamekufa zaidi ya 15, bado wangapi?

RAIS wangu, ni wapi katika nchi yetu ambako hakuna mapigano? Mapigano kati ya wakulima na wafugaji yametapakaa nchi nzima. Mapigano kati ya wananchi na wawekezaji yameenea kote. Na katika mapigano...

 

9 years ago

Michuzi

NYATI WANANE WAMEKUFA KWA KUGONGWA NA FUSO

Wanyama aina ya Nyati wanane wakiwa wamekufa baada ya kugongwa na gari aina ya Fuso kwenye mbuga ya Wanyama ya Mikumi na kusababisha foleni ya magari. Tukio hili limetokea alfajiri ya leo tarehe 4 Desemba 2015.

 

11 years ago

Tanzania Daima

MIALE SANAA GROUP: Wakali wanaokuja sokoni na ‘990 Wamekufa’

KUTOKANA na maisha kuwa na changamoto nyingi kwa sasa, vijana wengi wameanza kutafuta njia mbadala katika kuingiza kipato cha kukabiliana na ugumu wa changamoto hizo za maisha. Moja ya fani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani