Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIJANA AKUTWA AMEJERUHIWA VIBAYA KIMARA JIJINI DAR

Kijana alivyokutwa eneo la Kimara-Mwisho akiwa amejeruhiwa vibaya. ...Akipelekwa kwenye gari la polisi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AKUTWA AMEUAWA ENEO LA AFRICANA-MBEZI JIJINI DAR

Mwili wa Erick 'Ras Kiduku' kama ulivyokutwa eneo la tukio. Ufunguo wa Bajaj aliyokuwa akiendesha marehemu Ras Kiduku. MWILI wa kijana ambaye ni dereva wa Bajaj aliyejulikana kwa jina la Erick maarufu kwa jina la Ras Kiduku umekutwa ukiwa umetupwa eneo la Kilongawima, Africana-Mbezi jijini Dar es Salaam. Pembeni…

 

11 years ago

Michuzi

DR.MAGUFULI AKAGUA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM: BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA

Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni hapa jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.   Waziri wa Ujenzi Mhe. Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Dar es Salaam Bus Rapid Transit -...

 

10 years ago

Michuzi

Mwili wa kijana Denis Casmiry wakutwa ufukweni jijini dar

MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Kambangwa,Denis Casmiry mwenye umri wa miaka 16 (pichani) amekutwa kwenye ufukwe wa Salander Bridge akiwa amefariki dunia
Akizungumza na Ripota wetu huku akionekana kuwa na masikitiko makubwa,Baba Mzazi wa Mtoto huyo aliejitambulisha kwa jina la Casmiry,amesema kuwa walipata taarifa ya mtoto wao kupotea toka Jumamosi Desemba 20,2014 ambapo inadaiwa kuwa aliondoka nyumbani kwao akiwa na marafiki zake kwenda kwenye Mazoezi ya viungo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wakwama Kimara Dar es Salaam

Wapiga kura katika eneo la Kimara Stop Over, jijini Dar es Salaam hawajafanikiwa kupiga kura kufikia sasa.

 

11 years ago

GPL

BASI LA NBS LAGONGA KIMARA DAR

Muonekano wa mbele wa basi la NBS T719 AZC baada ya kugonga basi la Princes Muro T892 BUR lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza eneo la Kimara. Basi la Princes Muro T892 BUR likitokea Dar kwenda Mwanza limegongwa nyuma na basi la NBS T719 AZC likiwa safarini kuelekea Tabora eneo la Kimara leo.…

 

11 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAANGUKA KIMARA, DAR

LORI lililokuwa na shehena ya mafuta lita 34,000 likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani limeanguka asubuhi hii eneo la Kimara Darajani, Dar na kuziba barabara huku wananchi wakichota mafuta. Lori hilo ni mali ya Nassor Filling Station. Jeshi la Polisi liliamua kuingilia kati kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wakigombea kuchota mafuta eneo la ajali. Video ya tukio hili itawajia hivi punde! ...

 

10 years ago

Michuzi

Eneo Linauzwa Kimara Mwisho, Dar es salaam


Changamkia Fursa "Ardhi Ni Mali"Eneo Linauzwa Lipo Kimara Mwisho, Mita 300 Kutoka Morogoro Road Au Stendi Ya Mabisi Ya Mwendo Kasi, Eneo Lina Ukubwa Wa Heka Moja Na Lina 
Nyumba Moja Ndogo Na Restaurant Ya Makuti... Linafaa Kwa Makazi Na Biashara. 
Kwa Mnunuzi Piga Simu Nambari +255 757 343333 Au 786 582078. 

 

9 years ago

BBCSwahili

Upigaji kura waendelea Kimara Dar es Salaam

Wananchi katika kituo cha kupigia kura cha Kimara Stop Over A na B mjini Dar es Salaam wanaendelea kupiga kura baada ya kuahirishwa kwa shughuli hiyo hapo jana kutokana na upungufu wa vifaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani