Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzani wa Wim: Teknolojia ya kuwabana madereva wanaozidisha uzito

Kwa miaka mingi kumekuwa na mvutano mkubwa baina ya serikali na wasafirishaji juu ya matumizi sahihi ya barabara nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wanaozidisha uzito kukiona

WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inakusudia kuongeza adhabu ya tozo kwa magari yanayokamatwa yamezidisha mizigo na kusababisha barabara kuharibika. Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Edwin Ngonyani alisema hayo juzi wakati wa ziara yake kukagua miradi ya miundombinu ya barabara ya Magole –Turiani, wilayani Mvomero yenye urefu wa kilometa 48.6 pamoja na ujenzi wa mizani inayotembea katika barabara kuu eneo la Mikese , wilaya ya Morogoro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madereva walalamikia mzani Singida

MADEREVA wa magari makubwa ya mizigo na abiria wamelalamikia mzani uliopo mjini Singida katika barabara kuu ya kutoka Mwanza kuelekea jijini Dar es Salaam kwa madai kuwa ni mbovu. Wakizungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumatra kuwabana madereva wakorofi

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), inatarajia kuanza utaratibu wa kutoa vibali maalumu vitakavyolenga kumuwajibisha dereva au kondakta moja kwa moja badala ya mmiliki kama...

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WAFUNDWA NA TANROADS KUHUSU MZANI WA KISASA WA VIGWAZA

Eng. Japhet Kivuyo kutoka kitengo cha mzani wa Vigwaza mkoani Pwani akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea mzani huo jana jijini Dar es salaam.Taa ya mzani wa Vigwaza ikielekeza gari lililobeba mzigo mzito kupinda kushoto kwa ajili ya ukaguzi wa kina. Changamoto kubwa iliyopo madereva hawafati taratibu za taa na wengine hawazielewi.Kamera zilizounganishwa na Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) eneo la mzani wa Vigwaza zikirekodi matukio mbalimbali yanayotokea katika eneo...

 

10 years ago

Habarileo

‘Jifunzeni mzani wa Vigwaza’

WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Pwani, umewataka wasafirishaji kusoma na kuzingatia maelekezo wanayopewa ili kutosababisha foleni ya magari katika mzani mpya wa Vigwaza ambao umejengwa kisasa kwa lengo la kupunguza foleni.

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF watoa elimu kwa madereva taxi wa wilaya ya Ilala na madereva kujiunga na mpango wa hiari

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma  akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar

Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.

Chama cha wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU- kimetangaza mgomo wa madereva nchi nzima kuanzia Agosti tisa mwaka huu baada ya wamiliki wa mabasi, wakala wa usafiri wa nchi kavu na majini pamoja na wizara ya kazi kushindwa kutekeleza makubaliano yalifikiwa na tume iliyoundwa na waziri mkuu kutatua mgogoro wa madereva nchni.Kauli hiyo imetolewa na naibu katibu mkuu wa TADWU, Bwana Rashidi Salehe wakati akizungumza na ITV ambapo amesema mgomo huo unarejea tena baada ya wamiliki wa mabasi kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Mzani wa Manga walalamikiwa na wenye magari

MADEREVA wa magari makubwa ya mizigo na ya abiria wamelalamikia mizani iliyopo eneo la Manga, nje kidogo ya mji wa Singida barabara kuu ya Singida - Mwanza kwa madai kuwa ni mbovu.

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PESHNI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MADEREVA TAXI WA WILAYA YA ILALA NA MADEREVA KUJIUNGA NA MPANGO WA HIARI

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma  akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar  Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na kuwasisitiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani