Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzeewa miaka 75 auawa na kufungwa kamba kuonesha alijinyonga


Na Amiri kilagalila,Njombe Mzee Arusha Nziku (75) mkazi wa wilaya ya Wanging’ombe mkaoni Njombe,amekutwa amefariki nyumbani kwake huku akiwa amefungwa kamba ndani ya nyumba yake kuonyesha emejinyonga. Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamisi Issa amesema waliotekeleza mauaji hayo walitumia kamba kumfunga na kuonyesha kama amejinyonga. “Ni mzee ambaye amekufa akiwa nyumbani kwake na hawa wauaji walichokifanya ni kwamba baada ya kumuua wakamfanya kama amejinyonga,ile kamba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Buzwagi kufungwa miaka 2 ijayo?

MGODI wa dhahabu wa Buzwagi uliopo Kahama mkoani Shinyanga, huenda ukafungwa ndani ya miaka miwili ijayo ili kuiepushia hasara kampuni inayochimba dhababu katika eneo hilo, African Barrick Gold.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!

Na Musa Mateja
Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana jukwaani na sare zinazoaminika kuwa za Jeshi la Wananchi (JWTZ) kisha kukamatwa kwa kundi lake la Wasafi Classic Baby (WCB) na meneja wake, Babu Tale, kuna uwezekano wa jamaa huyo kufungwa jela miaka miwili au mitatu. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri zamu yake kupanda jukwaani....

 

11 years ago

BBCSwahili

Rwanda - Ingabire kufungwa miaka 15 jela

Mahakama ya juu zaidi nchini Rwanda imemhukumu kiongozi wa upinzani wa Rwanda Victoire Ingabire miaka 15 jela katika kesi ya rufaa

 

9 years ago

BBCSwahili

Mfalme kufungwa jela miaka 12 Afrika Kusini

Mahakama nchini Afrika Kusini imedumisha hukumu aliyopewa mfalme wa kabila la Thembu, ikisema lazima atumikie kifungo cha miaka 12.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasambaza picha za ngono kufungwa miaka saba jela

>Leo, Serikali itawasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao wa mwaka 2015 kwa hati ya dharura unaoorodhesha adhabu mbalimbali, ikiwamo ya faini ya Sh50 milioni au kifungo kisichopungua miaka saba kwa mtu atakayebainika kusambaza picha za ngono mtandaoni.

 

10 years ago

Habarileo

Wanaouza silaha feki kufungwa miaka 5, kupigwa faini mil.10/-

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.MTU yeyote atakayepatikana akiingiza au kuuza silaha za bandia, atahukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini isiyozidi Sh milioni 10. Adhabu hiyo imetajwa na Muswada wa Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa mwaka 2014.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Meneja EWURA alijinyonga-Polisi


NA MWANDISHI WETU
JESHI la Polisi limesema hakuna anayetiliwa shaka kuhusiana na kifo cha aliyekuwa Meneja Udhibiti wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Julius Gashaza kwani alijinyonga.
Gashaza alikutwa amekufa kwa kile kilichodaiwa kujinyonga kwa kutumia tai katika nyumba ya kulala wageni ya Mwanga, eneo la Yombo Vituka, mjini Dar es Salaam.
Meneja huyo alikuwa amefariki dunia  siku moja baada ya kurejea kutoka Dodoma kikazi Mei 18, mwaka huu.
Kamanda wa...

 

11 years ago

GPL

BABU MIAKA 82 AUAWA....

Stori: Haruni Sanchawa, Pwani SIMANZI! Stori ya kifo cha mzee Halfan Mohammed Mtonga (82) mkazi wa Kijiji cha Pela, Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani hapa kinachodaiwa kutokana na kuvunjwa shingo, inasikitisha. Marehemu mzee Halfan Mohammed Mtonga (82) mkazi wa Kijiji cha Pela, Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani aki sindikizwa katika safari yake ya mwisho. Tukio hilo lilitokea Julai 3, mwaka huu nyumbani kwake baada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani