Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzigo wa Muhimbili kuwalea wagonjwa wasio na ndugu

Yumkini baadhi yetu hatujawahi kulazwa hospitalini na wengine pengine tumelazwa kwa siku mbili, wiki au mwezi kisha tukaruhusiwa kutoka na kurudi nyumbani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAGONJWA WASUBIRI KUTAMBULIWA NA NDUGU ZAO HOSPITALINI MUHIMBILI

KAMERA yetu jana ilitembelea Taasisi ya Tiba na Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), wodi za…

 

5 years ago

CCM Blog

MARUFUKU WAGANGA WA JADI KUPOKEA WAGONJWA WASIO NA RIPOTI YA HOSPITALI

  Katika jitihada za kupambana na Ugonjwa wa Corona, Chifu wa Mkoa wa Songwe Mbeshena Nzunda ametoa marufuku kwa waganga wa jadi kupokea mgonjwa yeyote ambaye hana ripoti itakayo onyesha tatizo husika limeshindwa kutatuliwa hospitalini.

Chifu Nzunda amebainisha hayo katika kikao cha Kamati ya Amani ya Mkoa ilipokutana kujadiliana hatua zaidi za tahadhari zinazo paswa kuchukuliwa na Mkoa wa Songwe ili kupambana na ugonjwa wa Virusi vya Corona.
Amesema ili mgonjwa apate matibabu kwa mganga wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wagonjwa zaidi wa moyo ‘wapasuliwa’ Muhimbili

 HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH), imewafanyia tiba ya moyo wagonjwa 66 katika kipindi cha siku saba bila kufungua kifua na pia kuzibua mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye moyo kwa kuweka kifaa maalumu.

 

10 years ago

Mtanzania

Wagonjwa Muhimbili wasotea huduma ya CT -Scan

Hadia Khamis na Johanes Respichius (RCT), Dar es Salaam
BAADHI ya wagonjwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wamelalamikia hatua ya uongozi wa hospitali hiyo kushindwa kuchukua hatua za dharura za kutoa huduma za CT-Scan, ambayo imeharibika kwa kipindi cha miezi miwili sasa.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti, wagonjwa hao walisema wamekuwa wakiteseka kwa kipindi cha miezi miwili sasa bila kupata huduma hiyo.
Mmoja wa wagonjwa hao aliyejitambulisha kwa jina la Rashid Omari,...

 

11 years ago

GPL

FRANCIS BENARD; MIAKA 29 KITANDANI MUHIMBILI, HANA NDUGU!

ALIPOPANDA basi kutoka Tanga kuelekea Dar es Salaam mwezi fulani mwaka 1984, hakujua kama ilikuwa ni siku yake ya mwisho kuwa mzima, mwenye mwili mkakamavu uliokamilika viungo vyote. Akiwaacha nyuma mkewe, Veneranda Makamba na watoto wake wawili, Bashangi (aliyekuwa na umri wa miaka 12) na James (10), Francis Benard aliyekuwa na umri wa miaka 46 wakati huo, uzima wake ulikomea maeneo ya Mto Wami, ambako alipata ajali iliyomlaza...

 

10 years ago

Habarileo

Muhimbili yafungua kliniki kwa wagonjwa wa NHIF

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imefungua kliniki kwa wagonjwa wanaotumia Mfuko wa Taifa wa Bima ya AFya (NHIF) huku kliniki hiyo ikikabiliwa na matatizo ya mitambo ya Xray, CT scan na mashine za digitali za kupimia tumbo (floroskopian).

 

9 years ago

Michuzi

Muhimbili yapokea mashine ya ventilator ya kusaidia wagonjwa kupumua

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN), Profesa Lawrence Mseru akipokea mashine ya ventilator ya kusaidia wagonjwa kupumua endapo wamezidiwa baada ya kuugua. Kushoto ni Mkurugenzi Mauzo wa Mashariki ya Kati na Afrika, Qasem Sumrein akikabidhi mashine hiyo leo. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN), Profesa Lawrence Mseru akitoa ufafanuzi baada ya kupokea mashine hiyo. Daktari Bingwa wa Magonjwa Mahututi na Uzingizi, Moa Kalunga katika...

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA NBC YATOA MISAADA KWA WAGONJWA WA MUHIMBILI

 Mdhibiti  Uhalifu wa Kifedha wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Thomas Mgonja (kushoto) akikabidhi msaada wa sabuni kwa Enesi Sanga ambaye mtoto wake amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Wafanyakazi wa idara ya udhibiti wa uhalifu wa kifedha ya benki hiyo walikwenda hospitalini hapo jijini Dar es Salaam jana kukabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu ikiwa ni sehemu ya mpango wa NBC wa kuhudumia na kurudisha sehemu ya faida waipatayo katika shughuli za kijamii. Mdhibiti  Uhalifu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani