Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzumbe, Bradford kuimarisha ushirikiano

CHUO Kikuu cha Mzumbe na kile cha Bradford cha Uingereza vimedhamiria kuimarisha uhusiano kwa faida ya vyuo hivyo na nchi kwa ujumla. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo timu ya watu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Vyuo vikuu Mzumbe, Bradford kuimarisha ushirikiano

CHUO Kikuu Mzumbe na kile cha Bradford cha Uingereza vimedhamiria kuimarisha uhusiano zaidi kwa faida ya vyuo hivyo na nchi kwa ujumla. Hatua hii inakuja wakati ambapo timu ya watu wanne toka chuo hicho maarufu cha Uingereza ikiwa Mzumbe kufanya tathmini ya kawaida ya kila mwaka kuona jinsi ushirikiano wao unavyoendelea.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mzumbe, Tampere kuendesha utafiti kuimarisha maisha nchini

CHUO Kikuu Mzumbe kimeanzisha ushirikiano na Chuo Kikuu cha Tampere cha nchini Finland kufanya utafiti utakaosaidia kujenga uwezo na hali bora ya maisha katika kaya nchini Tanzania. Kaimu Makamu Mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA NA NEPAL KUIMARISHA USHIRIKIANO

Waziri wa wa Mambo ya Nje wa Nepal, Mhe. Pradeep Gyawali alifungua rasmi ofisi ya Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania nchini Nepal katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Radisson Jijini Kathmandu tarehe 02 Machi 2020.

Katika hotuba yake, Waziri Gyawali alieleza kuridhishwa kwake kutokana na uhusiano thabiti wa kidiplomasia uliopo kati ya nchi hizi mbili ambapo zinashirikiana na kujenga hoja zinazofanana kwenye medani ya Umoja wa Mataifa, Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote, Kundi...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania, India kuimarisha ushirikiano

TANZANIA na India zimeeleza kuridhishwa na uhusiano na ushirikiano uliopo baina yao na kusisitiza dhamira ya kweli ya kuuimarisha kwa faida ya wananchi. Hayo yalielezwa kwenye mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais wa India, Mohamed Hamid Ansari. Dk yuko nchini humo kwa ziara ya kikazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA, Korea kuimarisha ushirikiano

TANZANIA kupitia Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), inatarajia kuanza kupata wawekezaji wengi kutoka Jamhuri ya Korea Kusini kwa faida ya nchi zote mbili. Matarajio hayo yanatokana na...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA NA KUWAIT ZAAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Mubarak Mohammed Faleh Alsehaijan alipomtembelea katika ofisi za wizara Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili 2020.

Mazungumzo yao yalijikita katika kujadili namna bora ya kuuenzi na kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia iliopo baina ya mataifa yao ili uweze kuleta tija na kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano kwa manufaa ya wananchi wa Tanzania na...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA NA SWEDEN ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule akisalimiana na Mhe. Tanja Rasmusson, Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Kimataifa wa Sweden alipofika Wizarani leo. Mhe. Rasmusson yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Katika mazungumzo yao waligusia masuala ya kuimarisha ushirikiano katika nyanja za biashara, uwekezaji, elimu, haki za binadamu na vita dhidi ya rushwa. Mhe. Rasmusson akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania na Jamhuri ya Korea kuimarisha ushirikiano

Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza wakati wa mkutano kati yake na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika na Mashariki ya Kati kutoka Jamhuri ya Korea Bw. KWON Hee-seog (hayupo pichani) kuhusu masuala mbalimbali katika kuimarisha ushrikiano kati ya Tanzania na Jamhuri ya Korea. Mkutano huo uliwahusisha pia wadau  kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali za hapa nchini akiwemo Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA NA SRI LANKA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sri Lanka, Mhe. Prof. G.L. Peiris walipokutana mjini Colombo, Sri  Lanka wakati wa ziara ya Mhe. Membe nchini humo hivi karibuni. Wakati wa ziara hiyo  Mhe. Membe kwa niaba ya Serikali ya Tanzania alisaini mikataba mitatu ikiwemo ule wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Sri Lanka, Mkataba wa Ushirikiano katika masuala ya Siasa na Mkataba wa Makubaliano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani