MZUNGU WA TINDIKALI ZENJI...AANIKA MAZITO
![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhMJmhqTO2ma9HfBepVgb1z4Do-0LT8UkHijXqHtadUAWaZqlHpEJQvpX94IJljvWQ9sGw2qZuXWccVYCKTzZoph/mzungu.jpg?width=650)
Stori: Mwandishi Wetu MMOJA wa wasichana wawili raia wa Uingereza waliomwagiwa tindikali na watu wawili ambao bado hawajajulikana mjini Zanzibar Agosti 7 mwaka jana, ameibuka na kuliambia gazeti la Daily Mail la nchini humo jinsi tukio hilo lilivyotokea. Katika mahojiano yaliyochapishwa na gazeti hilo Jumapili iliyopita, Katie Gee, ambaye ndiye alikuwa karibu zaidi ya mtu aliyewamwagia tindikali hiyo, alisema hadi sasa...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
CHADEMA Blog![](https://img.youtube.com/vi/wmZChnwI4Uc/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oM0sMrsP7-v0okXqveHDSRleljE2CN1QIPnXMrCFComGycSaum2n4H1jYxeMSrdoLQtAcXc51Sez6rGDzq2OJnJ/BOMU.jpg)
MABOMU ZENJI, HOFU YATANDA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N3KOhR8v2a10cJAgvZmRJiet4ZM2XxJ*q9wAzkrxd-Wavs0YUmViVIhXX6r4HE-ax4sC5zz*433xMIsZYUYH3eSyo8l9pL*w/UOIOYO.gif?width=650)
Mavugo akusanya kijiji Zenji
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Yanga yawakera mashabiki Zenji
BAADHI ya mashabiki wa Yanga mjini hapa wamelaani kitendo cha uongozi wa klabu hiyo kushindwa kupeleka timu katika michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mara nyingine wakisema kunawanyima raha. Wakizungumza...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Miy5-5-cgYteqVIgNzIBFm4tT8di2cLrDAq-zweaMPvrTQJS1-8D0pZ90PReW7SIeWqerCP0*LI-WFn1vg3ZcXNZ-xOr-Gvl/mlela1.jpg?width=650)
MLELA AJIACHIA NA SHOMBESHOMBE ZENJI
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Sura ya zamani ya Zenji inapotea
TOKEA nilipokuwa mdogo mpaka sasa nimekuwa nikipenda kufuga kuku, hasa kwa ajili ya kujipaia mayai na kitoweo na sio kwa biashara. Nimejifunza mengi juu ya tabia ya kuku, makoo na...
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Simba yakumbuka marashi ya ‘Zenji’
KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu Mzambia, Patrick Phiri, kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam leo kwenda Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho ya Ligi Kuu Tanzania bara itakayoanza Jumamosi...
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Sare zaing’oa Simba ‘Zenji’
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri amesema haoni haja ya kurejea Zanzibar kuendelea na kambi kwa mechi zijazo za Ligi Kuu, baada ya kuambulia sare katika mechi mbili mfululizo katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CgwvKmsfinq8A-dIxbZViWHFLtLhfrsxqIqXlg14F7f7Te5LZIhxc5MJOSfe0KEBTqcfi8Ct7Lg4Dcv2DjU3*XFH7-1d6hNv/aunti.jpg)
AUNT, IYOBO MAHABA NIUE ZENJI!