Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sura ya zamani ya Zenji inapotea

TOKEA nilipokuwa mdogo mpaka sasa nimekuwa nikipenda kufuga kuku, hasa kwa ajili ya kujipaia mayai na kitoweo na sio kwa biashara. Nimejifunza mengi juu ya tabia ya kuku, makoo na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''

Stakabadhi zilizowasilishwa mahakamani na polisi zanaelezea jinsi Thomas Thabane alivyohusika na mauaji hayo.

 

10 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Simba yakumbuka marashi ya ‘Zenji’

KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu Mzambia, Patrick Phiri, kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam leo kwenda Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho ya Ligi Kuu Tanzania bara itakayoanza Jumamosi...

 

11 years ago

GPL

MABOMU ZENJI, HOFU YATANDA

Stori: Mwandishi Wetu, Zanzibar HOFU kubwa kubwa imetanda kwa wananchi wa Zanzibar kufuatia kulipuka kwa bomu lililosababisha kifo cha mtu mmoja hivi karibuni katika eneo la Stone Town, Dajarani mjini humo. Mtoto mdogo ambaye amejeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea maeneo ya Stone Town, Dajarani huko Zanzibar. Tukio hilo ni la pili kwa mwaka huu, baada ya Februari mabomu mawili yaliyotengenezwa kienyeji… ...

 

10 years ago

GPL

Mavugo akusanya kijiji Zenji

Straika wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo. Na Richard Bukos, Zanzibar
WAKATI straika wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, akitarajiwa kutua kambini visiwani hapa ndani ya siku mbili hizi, mashabiki wa klabu hiyo juzi walijitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Amaan kuhudhuria mazoezi ya kikosi hicho wakiamini Mrundi huyo angekuwepo uwanjani hapo. Lakini Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amelithibitishia Championi Jumatano kuwa,...

 

9 years ago

GPL

MLELA AJIACHIA NA SHOMBESHOMBE ZENJI

Staa wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela akiwa na shombeshombe huyo. Gladness Mallya STAA wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela juzikati alinaswa Zanzibar akijiachia kimahaba na mrembo shombeshombe.Chanzo makini kililitonya gazeti hili kuwa, Mlela ameonekana visiwani humo kwa wiki nzima akijiachia na mwanadada huyo ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja bila kuhofia wala kuogopa macho ya watu. Alipoulizwa kwa njia ya simu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sare zaing’oa Simba ‘Zenji’

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri amesema haoni haja ya kurejea Zanzibar kuendelea na kambi kwa mechi zijazo za Ligi Kuu, baada ya kuambulia sare katika mechi mbili mfululizo katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yawakera mashabiki Zenji

BAADHI ya mashabiki wa Yanga mjini hapa wamelaani kitendo cha uongozi wa klabu hiyo kushindwa kupeleka timu katika michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mara nyingine wakisema kunawanyima raha. Wakizungumza...

 

11 years ago

GPL

MZUNGU WA TINDIKALI ZENJI...AANIKA MAZITO

Stori: Mwandishi Wetu
MMOJA wa wasichana wawili raia wa Uingereza waliomwagiwa tindikali na watu wawili ambao bado hawajajulikana mjini Zanzibar Agosti 7 mwaka jana, ameibuka na kuliambia gazeti la Daily Mail la nchini humo jinsi tukio hilo lilivyotokea. Katika mahojiano yaliyochapishwa na gazeti hilo Jumapili iliyopita, Katie Gee, ambaye ndiye alikuwa karibu zaidi ya mtu aliyewamwagia tindikali hiyo, alisema hadi sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani