Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NABII: WEMA ASIPOPATA MIMBA NDANI YA SIKU 21 NAACHA UTUMISHI

Musa Mateja NABII wa Kanisa la The Revelation Church lililopo Buza-Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera amesema anao uwezo wa kumponya kwa maombi msanii wa Bongo Muvi anayesumbuliwa na tatizo la kutopata mimba, Wema Sepetu. Msanii wa Bongo Muvi Wema Sepetu. Akizungumza na mwandishi wetu kupitia msemaji wake, Nabii Yaspi alisema mwanamke yeyote aliyevunja ungo, amepewa na Mungu uwezo wa kuzaa isipokuwa shetani huingilia kati na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALAA, NABII JEREMIAH ATANGAZA KIAMA,AWATAKA WAGANGA WA KIENYEJI WAJISALIMISHA.. ATOA SIKU 14

Dokta Manyaunyau ambae ameombwa kuwa wa kwanza kujisalimisha kwake kutokana na matatizo makubwa aliyokuwa nayo.
Na Mwandishi wa MaskanibongotzKatika hali isiyokuwa ya kawaida Nabii Jerry wa kanisa la Holly Ghost Fire lilipo Mbezi Juu kwa Temba Jijini Dar ametoa mpya baada ya kuwatangazia kiama waganga wote wanaotumika kwa ushirikina pamoja na wachawi kujisalimisha kanisani kwake mara moja kabla moto wake haujatua kwenye vichwa vyao.Akiongea na waandishi wa habari mbalimbali Kanisani kwake...

 

11 years ago

GPL

WEMA AFUNGUKIA ISHU YA MIMBA!

Stori: Shakoor Jongo
Wema Sepetu ambaye anadaiwa ana kitumbo, ameamua kufungukia madai hayo kwamba ni kweli anahitaji mtoto lakini kwa sasa bado mimba haijaingia. Diva katika tasnia ya filamu Bongo Wema Sepetu. Wema alifungukia hilo kwenye ukurasa wake wa nstagram ambapo alisema, anatamani siku moja aitwe mama lakini taarifa zilizoenea kuwa amenasa si za kweli. Akizungumzia hilo mpenzi wake Nasibu Abdul...

 

10 years ago

GPL

WEMA SEPETU AJUTIA MIMBA YA KANUMBA

Mwanadada asiyeishiwa habari, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Stori: Mwandishi Wetu/Risasi
MWANADADA asiyeishiwa habari, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ anadaiwa kujutia mimba yake aliyopachikwa na aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’ wakati wa mapenzi yao. Chanzo makini kilicho karibu na Wema kilieleza kwamba,...

 

9 years ago

GPL

WEMA NA FUNDISHO KWA WANAWAKE WANAOTOA MIMBA

Hamida Hassan Shauku ya wanawake wengi kuitwa mama ni kubwa sana, namaanisha kwamba kuwa na mtoto ni moja ya heshima ambayo wanawake wengi wanaililia, walio kwenye ndoa na hata wale walio nje ya ndoa.....Soma zaidi====>http://bit.ly/1EGHTkS

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Amtaja Mtu Anayemzuia Kupata Mimba

Ishu ya  Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito imeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kuizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti.

Wema ambaye pia ni muigizaji wa filamu, awali alisema sababu kubwa ya kutopata ujauzito ni masuala ya kiafya lakini safari hii ametoa kauli tata ambayo inahusiana na imani za nguvu za giza.

Wema ambaye alifunguka hayo hivi karibuni, anadai kuwa yawezekana marehemu Steven Kanumba anahusika kwenye...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Akiri Kutoa Mimba, Sheria za Nchi Zinasemaje?

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Take One hapo jana amekiri kuwa alitoa mimba maana hakuwa tayari kwa wakati ule.Ilikuwa mwaka 2008 na mimba ilikuwa ya marehemu Steven Kanumba

Kanumba alikuwa akimwambia kuwa nitakudai watoto wangu, kauli hii inamaanisha kuwa alitoa mimba zaidi ya moja.

Akizungumzia kuhusu kupata mtoto amesema anatamani sana kuwa na mtoto lakini ndio hivyo tena kahangaika sana lakini hajafanikiwa.Anadai labda wakati anatoa kuna vitu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Haya Ndio Aliyoyasema Diamond Kuhusu Hali ya Wema Kutoshika Mimba

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameeleza kulifahamu  kwa muda mrefu  tatizo la aliyekuwa mpenzi wake , Wema Sepetu la kutoshika mimba.

Akiongea na kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Diamond alisema wakati wako pamoja waliwahi kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu kupata tiba lakini hawakufanikiwa.

Alisema ilifika wakati alimweleza tu kuwa akubali hali hiyo.

Diamond alizungumzia pia lile andiko la Wema Sepetu mtandaoni ambapo alielezea tatizo

Akizungumzia andiko la Wema...

 

10 years ago

Bongo5

‘Mimba My Foot’, Zari ammind Wema baada ya kukejeli ujauzito wake

Wema Sepetu anahisi ujauzito wa Zari The Boss Lady ni geresha tu, hakuna lolote! Hii ni kwa mujibu wa picha inayoonekana kuwa iliwekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na ex wa Diamond Platnumz. Picha hiyo haipo tena lakini Zari alifanikiwa kuipata na kuiweka kwenye ukurasa wake kuelezea alivyosikitishwa na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani