Nafasi ya Mourinho ndani ya Klabu ya Chelsea si nzuri
Kocha wa Klabu ya Chelsea, Jose Mourinho.
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Chelsea, Oscar.
Na Rabi Hume
Hali ya mabingwa watetezi wa kombe la ligi kuu ya nchini Uingereza, Klabu ya Chelsea sio nzuri kwa msimu wa 2015/2016 kufuatia kuanza msimu huu vibaya kwa kuambulia points 11 katika michezo 11 iliyocheza mpaka sasa na kukamatilia nafasi ya 15 hali ambayo inamuweka katika kipindi kigumu kocha wa timu hiyo, Mreno Jose Mourinho.
Hilo limethibitishwa na mshambuliaji wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV18 Dec
Klabu Ya Chelsea Yamfuta kazi kocha Jose Mourinho.
Bodi ya klabu ya Chelsea The Blues ya England hatimaye imefikia uamauzi wa kumfuta kazi kocha Jose Mourinho chini ya mmiliki wake Roman Abramovic kufuatia matokeo mabaya kwenye ligi kuu ya England ikiwa katika nafasi ya 16 ya msimamo wa ligi hiyo.
Klabu hiyo bado haijatangaza rasmi lakini tayari bodi imepeana mkono wa kwaheri ikiwa ni miezi saba tangu alipoiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa EPL msimu uliopita.
Kipigo cha jumatatu wiki hii dhidi ya Leicester City cha mabao 2-1...
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Mourinho:Tunapigania nafasi ya nne
9 years ago
BBCSwahili24 Oct
Van Gaal: Man City wana nafasi nzuri ya kushinda debi
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Mourinho atimuliwa Chelsea
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Bodi ya Chelsea yamjadili Mourinho
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Mourinho atupiwa virago Chelsea
LONDON England
CHELSEA hatimaye imefikia uamuzi mgumu kabisa wa kumtimua kocha wao kipenzi, Jose Mourinho ikiwa ni miezi saba tu tangu kocha huyo aimbiwe wimbo wa kishujaa baada ya kuiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa England.
Uamuzi wa Bodi ya Chelsea umetangazwa jana jioni na umeelezwa kuchangiwa na matokeo mabaya ya timu hiyo katika Ligi Kuu ya England (EPL) msimu huu, ambapo timu hiyo inashika nafasi ya 16 ikiwa na pointi 15 kutokana na michezo 16 iliyocheza.
Kufungwa na vinara wa ligi...
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Mashabiki Chelsea wamlilia Mourinho
LONDON, ENGLAND
MASHABIKI wa Chelsea wameshindwa kuzuia hisia zao juzi katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Sunderland ambapo klabu yao ilishinda mabao 3-1, lakini walionekana wakiwa na mabango ambayo yanaonesha bado wanamuhitaji.
Kocha huyo amefukuzwa na klabu hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita, lakini katika mchezo wa juzi mashabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa Stamford Bridge, walionekana wakiimba nyimbo za kumsapoti Mourinho.
Kuna baadhi ya mashabiki ambao walionekana wakiwa na mabango...
11 years ago
BBCSwahili25 Jul
Mourinho : Drogba ni Chelsea damu.
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mourinho na Abramovich kuijenga Chelsea.