Nani ataleta amani CAR?
Viongozi wa wakristo na waislamu duniani wanapaswa kuhusika zaidi katika vita vinavyoendelea katika Jamhuri ya Afrika ya kati.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 May
Nani ataleta mwanga katika Taifa la Tanzania?
Wakati tunaelekea kuchanganyikiwa kwa kuzielekeza siasa zetu kwenye udini, ukabila na jinsia, binafsi na hata kwa baadhi ya watu wenye uchungu na nchi yetu, hatuna tatizo la Muislamu wala Mkristo kuwa Rais wa Tanzania au tuwe na Rais kutoka Zanzibar.
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Watu 2 wanaoleta amani CAR
Jamhuri ya Afrika ya Kati ilitumbukia kwenye ghasia mwaka mmoja uliopita, baada ya serikali kupinduliwa na wapiganaji wa kiislamu wa Seleka.
11 years ago
BBCSwahili07 Dec
Walinda amani zaidi wahitajika CAR
Wanajeshi zaidi wa Ufaransa walishika doria katika mji mkuu Bangui huku wengine wakiingia nchini humo kupitia Cameroon
11 years ago
BBCSwahili11 Apr
UN kutuma wanajeshi wa kulinda amani CAR
Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa limepiga kura kwa kauli moja kutuma kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani.
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Catherine Panza; mama anayetarajiwa kuleta amani CAR
Kadiri siku zinavyokwenda dhana ya mwanamke kutokuwa na umuhimu kwenye jamii nyingi za Kiafrika inapotea kutokana na kundi hilo kuanza kuaminika na kupewa madaraka makubwa maeneo husika.
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani
Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi31 May
NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP
Historia yake
Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).
10 years ago
Mwananchi21 May
NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo
Historia yake
Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.
10 years ago
Mwananchi06 Jun
NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema
Historia yake
Dk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania