Nanyumbu wachekelea kujiondoa mkiani
HALMASHAURI ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara imefanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2014, baada ya kushika nafasi ya tatu kimkoa ikilinganishwa na mwaka 2013 ambapo ilishika nafasi ya mwisho kati ya halmashauri saba zinazounda mkoa huo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL08 Jun
10 years ago
Mtanzania31 Aug
Jay Z kujiondoa kwenye Instagram
LOS ANGELES, Marekani
MSANII wa hip hop nchini Marekani, Jay Z, amepanga kujiondoa kwenye mtandao wa Instagram baada ya juzi kuweka picha ya marehemu Michael Jackson, ikikumbuka Agosti 29 ambayo ni siku ya kuzaliwa ya gwiji huyo wa muziki duniani.
Jay Z aliweka picha hiyo akiwa amepiga na gwiji huyo huku akiandika maneno yaliyosomeka: ‘Heri ya kuzaliwa mfalme wa muziki.’
“Hii inaweza kuwa ni picha yangu ya mwanzo na mwisho kuweka kwenye mtandao wa Instagram kwa kuwa sio mpenzi wa kutumia...
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
Zamalek kujiondoa katika ligi ya Misri
10 years ago
Habarileo28 Oct
Kibadeni apania kuitoa JKT Ruvu mkiani
KOCHA mpya wa timu ya soka ya JKT Ruvu, Abdallah `King Mputa’ Kibadeni ameanza kutamba kwa kusema tayari ameanza kuona mwanga wa mafanikio na siku chache zijazo anaamini ataanza kuonja ladha ya ushindi.
11 years ago
Habarileo08 Sep
43 wajeruhiwa ajalini Nanyumbu
WATU 43 wamenusurika kifo huku wanne kati yao hali zao zikiwa mbaya baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kupinduka katika Kijiji cha Mkambata, Kata ya Mikangaula, wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara.
10 years ago
Habarileo20 Dec
CCM bado yakubalika Nanyumbu
MATOKEO ya uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji katika Halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara yanaonesha kuwa wananchi wa wilaya hiyo bado wana imani na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kukipa ushindi katika uchaguzi huo.
11 years ago
Habarileo28 Jan
Mradi wa umeme Nanyumbu wazinduliwa
AHADI ya Serikali ya kuhakikisha inafikisha umeme Wilaya ya Nanyumbu na vijiji vyake , imetekelezwa baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuzindua rasmi mradi wa umeme wilayani humo. Kuzinduliwa kwa mradi huo, kumetengeneza historia mpya ya mji huo, kwani tangu uhuru, ulikuwa ukitumika umeme mbadala wa nishati ya jua na jenereta.
10 years ago
MichuziNMB YATOA VIFAA VYA HOSPITALI NA MADAWATI - NANYUMBU
Msaada huo uliopokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Festo Kiswaga, ni mwendelezo wa sera ya NMB ya kuchangia huduma za jamii ili...