NAPE :ITIKADI NI IMANI
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi16 Jan
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-T3QyN1wy9QI/VdGufR4qXXI/AAAAAAAAkQ0/sYzIpwxzIBQ/s72-c/8.jpg)
HABARI ZA KAMATI KUU YA CCM KUMUWEKA KANDO KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDUGU NAPE NNAUYE SI ZA KWELI
![](http://2.bp.blogspot.com/-T3QyN1wy9QI/VdGufR4qXXI/AAAAAAAAkQ0/sYzIpwxzIBQ/s640/8.jpg)
Ndugu Msomaji, kuna taarifa za uongo zimeenezwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii zikisema kuwa Kamati kuu ya CCM imemuweka kando Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye kutoka katika nafasi hiyo na kumteua Ndugu John Chiligati kushika wadhifa huo.
Taarifa hizo si za kweli kwani Kamati kuu haijafanya...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Itikadi zitafifisha katiba mpya
JUZI Rais Jakaya Kikwete, alitangaza majina 201 ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba linalotarajia kuanza vikao vyake Februari 18 mkoani Dodoma. Bunge hilo litajumuisha wabunge wote 357 wa Bunge...
11 years ago
Dewji Blog10 Jul
Njau: Itikadi za Siasa zisiwatenganishe
Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa wilaya ya Ikungi Jonathani Njau, akishikilia shilingi 1.5 milioni ambazo alichangia kwaya ya Agape ya kanisa la KKKT wilaya ya Ikungi.Katika harambee hiyo jumla ya zaidi ya shilingi 4.3 milioni zilikusanywa.
Na Nathaniel Limu
Mjumbe wa kamati kuu CCM (NEC) taifa wilaya ya Ikungi,Jonathan Njau amewaasa waumini wa madhehebu mbalimbali ya dini wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, kutokubali kugawanywa na imani zao za kiitikadi za kisiasa, bali...
10 years ago
Habarileo13 Aug
Wataka Katiba iainishe itikadi ya Tanzania
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wamependekeza Rasimu ya Katiba mpya ieleze Tanzania inafuata misingi ipi ya itikadi kati ya Ubepari au Ujamaa na Kujitegemea.
10 years ago
Habarileo17 Aug
Makatibu wa Itikadi, Uenezi CCM wafundwa
MAKATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Kata za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kuwatumia marafiki zao waliopo katika vyama pinzani ili kuhakikisha hali ya kisiasa inaendelea kuimarika.
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Vazi la Burqa ladaiwa kuwa la itikadi kali
11 years ago
BBCSwahili26 May
Makundi yenye itikadi kali yavunjwa China