Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAPE NA MBOWE WAKUTANA LEO JIJINI DARE ES SALAAM


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye  akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye ofisi za kampuni ya Free Media ltd jijini Dar es salaam, Nape ambaye yupo kwenye ziara ya kutembelea vyombo vya habari nchini leo alitembelea gazeti la Tanzania Daima na Jambo Leo.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye  akizungumza na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye ofisi za kampuni ya Free Media ltd jijini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASAF NA WADAU WA MAENDELEO WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM.


 Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF na wadau wa Maendeleo kutoka ndani na nje ya nchi wameanza Mkutano wa kupitia mafanikio na changamoto za utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya maskini,PSSN unaoratibiwa na Mfuko huo nchini. 

Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango huo unaowahusisha wataalamu mbalimbali kutoka Taasisi za Fedha na mashirika ya misaada ya kimataifa utawawezesha pia wataalamu hao kutembelea maeneo kadhaa ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini  katika mikoa y Dodoma, Lindi...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA DAWA WAKUTANA JIJI DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dkt. Donnan Mmbando akizungumza  na waandishi wa habari juu ya matumizi ya dawa  katika Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yawe na uwiano sawa,na kuwa na kiwango kinachokubalika Kimataifa. Amesema  mamlaka husika inapaswa kusimamia na wataalam wa dawa ili kuendana na soko  la Jumuiya ya  Afrika Mashariki, leo Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandisi wa habari kuhusu jinsi...

 

9 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekitiwa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk. Fatma Mrisho akitoa wito kwa mashirika mbalimbali kujikita katika utoaji wa elimu kuhusu maambukizi ya virusi vya UKIMWI huku wakishirikiana na Viongozi wa ngazi ya juu wa dini.Baadhi ya Viongozi wa ngazi ya juu wa dini na wawakirishi wa dini kutoka nchi 17 za Mashariki na Kusini mwa Afrika wakiwa kwenye mkutano huo utakaodumu kwa takribani siku tatu.Picha ya Pamoja Kwa washiriki walio hudhuria mkutano huo.Na Mwandishi wetuViongozi...

 

11 years ago

Michuzi

UKAWA wakutana na waandhishi wa habari jijini Dar leo

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Profesa Ibrahim Lipumba (katikati) akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutoa Tamko kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni.kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema,Mh. Freeman Mbowe na wa pili kulia ni Mwenyeti wa NCCR-Mageuzi,Mh. James Mbatia.Kulia ni Katibu Mkuu wa Chadema,Dkt. Wilbrod Slaa.Viongozi wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakishikana mikono kuashiria umoja mara...

 

9 years ago

CCM Blog

MHE. NAPE AFUNGUA MDAHALO WA KUJADILI HOTUBA YA RAIS CHUO KIKUU JIJINI DAR ES SALAAM

 Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na wageni waalikwa wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya Mdahalo wa kuijadili hotuba ya Rais aliyoitoa siku ya ufunguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mdahalo ulioandaliwa na TAHLISO wenye lengo la kujadili hotuba ya Mheshimiwa Rais Dk. John Pombe Magufuri aliyoitoa wakazi wa uzinduzi wa bunge la 11 mjini Dodoma.
 Waziri wa Habari,...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WALIOSOMA ST JOSEPH CATHEDRAL HIGH SCHOOL WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM, KUZINDUA CHAMA SEPTEMBA 26/2015 KARIMJEE

1Richard Rugimbana Mwenyekiti wa Chama cha Wanafunzi waliosoma katika shule ya (St Joseph Cathedral High School Alumn )kuanzia mwaka 1940 - 2014 akizungumza katika mkutano wao uliofanyika shuleni hapo jana wakati wa kikao chao kikilchojadili mipango mbalimbali ikiwamo kuanzisha mfuko wa Elimu utakaosaidia kuwasomesha wanafunzi wa shule hiyo wenye mahitaji maalum ikiwemo kuwapatia Scholaship katika vyuo mbalimbali. Chama hicho kinatarajiwa kuzinduliwa rasmi Septemba 26 kwenye ukumbi wa...

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA CHAMA CHA MCHEZO WA BASEBALL WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu Chama cha Baseball Tanzania (TABSA) Alpherio Nchimbi (kushoto) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya mashindano ya Kitaifa ya mchezo wa baseball yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni katika shule ya Sekondari ya Azania iliyopo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa mchezo wa Baseball Africa (AFAB) Shinya Tomonari na Kutoka kulia ni Afisa Michezo Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Richard Mganga. Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani