NBAA yabadili mitalaa kozi za uhasibu
Bodi ya Taifa ya Uhasibu (NBAA) imebadili mitalaa itakayotumika kuwatahini watahiniwa katika daraja juu la uhasibu Certified Public Accountant (CPA) kwa lengo la kuongeza ufanisi katika taaluma hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuziwatahiniwa 2,175 washindwa kufaulu mitihani ya Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi (NBAA)
Imeelezwa kuwa watahiniwa 2,175 sawa na asilimia 46.9 wameshindwa kufaulu mitihani ya Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi (NBAA).
Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA,Pius Maneno ilisema kuwa mitihani hiyo ya kwanza katika mfumo mpya wa elimu wa mafunzo unaozingatia weledi na matokeo hayo hayalinganishwi na matokeo ya nyuma ilifanyika katika mfumo wa kukazia maarifa.
Kwa mujinu wa Maneno,watahiniwa waliojisajili ni 6,464 kati ya hao 678 sawa...
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) latoa kibali kwa Taasisi ya Uhasibu (TIA) Mbeya kuanzisha kozi nyingine za shahada ya masoko
9 years ago
CCM BlogBARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)LATOA KIBALI KWA TAASISI YA UHASIBU (TIA) MBEYA KUANZISHA KOZI NYINGINE ZA SHAHADA YA MASOKO
Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya .
11 years ago
Michuzi28 Jul
MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://3.bp.blogspot.com/-3FvDjqPdnng/U9VIpXDi-NI/AAAAAAACzvw/xGx8-QGxyvs/s1600/image.jpeg)
9 years ago
Mwananchi08 Dec
Mitalaa ya kupinga ukatili ipelekwe shuleni - Tamwa
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Wajiandaa kulinganisha mitalaa ya vyuo Afrika Mashariki
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Maafali ya 36 ya NBAA yafana
Baadhi ya wahitimu wa NBAA wakiwa katika maandamano ya kitaaluma wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana ambapo jumla ya wahitimu 855 walipata Degrii ya juu ya uhasibu (CPA) na wahitimu 82 walitunukiwa cheti cha utunzaji wa hesabu (ATEC.)
Mgeni rasmi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda Mhe. Janeth Mbene akiongea na wahitimu (hawapo pichani) wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana.
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Matokeo ya NBAA yatangazwa
Mkurugenzi Mtendaji Bodi NBAA Bw. Pius Maneno.
Na Nyakongo Manyama-Maelezo
Jumla ya watahiniwa 813 ambao ni sawa na asilimia 14.3 wamefaulu mitihani ya Bodi ya Taifa ya Wasahibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) na uliofanyika Novemba 2015 kote nchini.
Katika matokeo hayo, wahitimu wengine 1867 ambao ni sawa na asilimia 32.9 wamefaulu baadhi ya masomo katika ngazi mbalimbali kati ya watahiniwa 6404 waliosajiliwa katika mitihani iliyofanyika novemba mwaka huu.
Hayo yamesemwa na...
11 years ago
Habarileo03 Jul
Asilimia 30 ya watahiniwa NBAA wafaulu
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) imesema asilimia 30.2 ya watahiniwa waliofanya mitihani ya Bodi wamefaulu.