Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


watahiniwa 2,175 washindwa kufaulu mitihani ya Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi (NBAA)

Na Chalila Kibuda na Globu ya Jamii 
Imeelezwa kuwa watahiniwa 2,175 sawa na asilimia 46.9 wameshindwa kufaulu mitihani ya Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi (NBAA).
Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA,Pius Maneno ilisema kuwa mitihani hiyo ya kwanza katika mfumo mpya  wa elimu wa mafunzo unaozingatia weledi na matokeo hayo hayalinganishwi  na matokeo ya nyuma ilifanyika katika mfumo wa kukazia maarifa.
Kwa mujinu wa Maneno,watahiniwa waliojisajili ni 6,464  kati ya hao 678 sawa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Asilimia 30 ya watahiniwa NBAA wafaulu

BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) imesema asilimia 30.2 ya watahiniwa waliofanya mitihani ya Bodi wamefaulu.

 

11 years ago

Mwananchi

NBAA yabadili mitalaa kozi za uhasibu

Bodi ya Taifa ya Uhasibu (NBAA) imebadili mitalaa itakayotumika kuwatahini watahiniwa katika daraja juu la uhasibu Certified Public Accountant (CPA) kwa lengo la kuongeza ufanisi katika taaluma hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Watahiniwa kidato cha nne waanza mitihani

Wanafunzi wa kidato cha nne nchini wameanza mitihani  ya Taifa ya kuhitimu elimu ya sekondari huku hali ya utulivu ikitawala katika vituo vyote vya kufanyia mitihani hiyo.

Mitihani hiyo imeanza Novemba 2 hadi 27 na jumla ya watahiniwa 4,634 ndiyo wanaofanya mitihani hiyo huku  960 wakiwa ni watahiniwa wa kujitegemea.

 Startv imetembelea katika baadhi ya shule ambapo mitihani hiyo inafanyika na kushuhudia wanafunzi wakiwa wanajisomea kwa ajili ya kujikumbusha kile walichofundishwa.

Monica...

 

10 years ago

Mwananchi

Watahiniwa kidato cha nne kuanza mitihani rasmi

  Wanafunzi 297,488 wa kidato cha nne katika shule mbalimbali nchini, wanaanza mtihani wa kuhitimu utakaokamilika baada ya siku 20 huku watahiniwa wakionywa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu.

 

9 years ago

Mwananchi

Watahiniwa darasa la saba zaidi ya 700,000 kuanza mitihani kesho

Wanafunzi 775,729 walioandikishwa kufanya mtihani wa darasa la saba nchini, kesho wanaanza kufanya mtihani huo, huku idadi ya watahiniwa ikipungua ukilinganisha na walioandikishwa mwaka jana.

 

9 years ago

Mwananchi

Wahasibu 813 wafaulu mitihani ya NBAA

Watahiniwa 813 ambao ni sawa na asilimia 14.3, wamefaulu mitihani ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) iliyofanyika Novemba.

 

10 years ago

Michuzi

Mahafali ya 36 ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) yafana

Baadhi ya wahitimu wa National Board of Accountants and Auditors (NBAA)  wakiwa katika maandamano ya kitaaluma wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana ambapo jumla ya wahitimu 855 walipata Degrii ya juu ya uhasibu (CPA) na wahitimu 82 walitunukiwa cheti cha utunzaji wa hesabu (ATEC.) Mkurugenzi wa Bodi ya NBAA Bw. Pius Maneno akitoa hotuba fupi kabla yakumkaribisha mgeni rasmi wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA...

 

10 years ago

Michuzi

GEPF WASAINI MKATABA NA BODI YA WAHASIBU NA WAKAGUZI (NBAA) WA UWEKEZAJI WA PAMOJA KATIKA ENEO LA BUNJU MJINI DAR

Mfuko wa Pensheni wa GEPF umesaini mkataba wa uwekezaji na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) katika eneo la Bunju. Uwekezaji huo utakaohusisha kumbi za mikutano (Conference Halls) zenye uwezo wa kuchukua watu Zaidi ya 1,200, migahawa (Restaurants), Hoteli yenye hadhi ya kimataifa yenye vyumba Zaidi ya 102, Maktaba, Bwawa la kuogelea (Swimming Pool) pamoja na sehemu za mazoezi (Gymnasium) Uwekezaji huo utagharimu Zaidi ya shilingi Bilioni 10 za kitanzania na unategemewa...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA USHAURI TAA YARIDHISHWA NA UKAGUZI WA CORONA TB3


Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Dkt Masatu Chiguma akipimwa joto la mwili na Afisa Afya, Yusta Malisa wakati bodi hiyo ilipotembelea Jengo la Tatu la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TB3), kwa ziara ya kikazi.
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wakiangalia moja ya begi likipita kwenye mkanda ikiwa ni hatua ya tatu kwa ukaguzi kabla halijafika hatua ya mwisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani