Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndesamburo: Soko la mitumba litarejea Kiborloni

>Mbunge wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo amewahakikishia wananchi na wafanyabiashara wa Moshi na vitongoji vyake kwamba soko la mitumba litarejeshwa katika eneo la Kiborloni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ndesamburo: Nitalirudisha Soko la Kiborloni

MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chedema), amewahakikishia wakazi wa Kata ya Kiborloni kuwa atalirejesha soko lao la nguo na viatu vya mitumba lililohamishwa mwaka 2007. Soko hilo maarufu kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Soko la mitumba lazua mvutano

Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema) ameamua kujenga soko la kisasa eneo la Kiboriloni litakalokuwa na vibanda 200 na eneo la wazi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wa mitumba.

 

10 years ago

Vijimambo

TABIA HII YA WAUZA MITUMBA SOKO LA MCHIKICHINI NI UDHALILISHAJI WA KIJINSIA

Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini
Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale wa Modewji blogMiongoni mwa mambo ya aibu katika jamii ni pamoja na masuala ya udhalilishaji wa kijinsia ukiwemo ule wa maungoni hasa kwa wanawake.Kwa muda mrefu mtandao huu umekuwa ukifuatilia vitendo hivyo vibaya kwa jamii vinavyofanywa na watu waliokosa ustaarabu hasa jamii ya vijana katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi karibu maeneo mengi ikiwemo jiji la Dar es Salaam....

 

10 years ago

Dewji Blog

TAHARIRI: Tabia hii ya wauza mitumba soko la Mchikichini ni udhalilishaji wa kijinsia

Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini

Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Miongoni mwa mambo ya aibu katika jamii ni pamoja na masuala ya udhalilishaji wa kijinsia ukiwemo ule wa maungoni hasa kwa wanawake.

Kwa muda mrefu  mtandao huu umekuwa ukifuatilia vitendo hivyo vibaya kwa jamii vinavyofanywa na watu  waliokosa ustaarabu hasa jamii ya vijana katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi karibu maeneo mengi ikiwemo jiji la Dar es...

 

10 years ago

GPL

TAHARIRI: TABIA HII YA WAUZA MITUMBA SOKO LA MCHIKICHINI NI UDHALILISHAJI WA KIJINSIA‏

Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo kwenye soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam. Na Andrew Chale wa Modewji blog
Miongoni mwa mambo ya aibu katika jamii ni pamoja na masuala ya udhalilishaji wa kijinsia ukiwemo ule wa maungoni hasa kwa wanawake.
Kwa muda mrefu mtandao huu umekuwa ukifuatilia vitendo hivyo vibaya kwa jamii vinavyofanywa na watu waliokosa ustaarabu hasa jamii ya vijana katika maeneo ya mikusanyiko ya...

 

11 years ago

Michuzi

Breaking Newssss: moto wateketeza soko la mitumba la karume jijini Dar usiku huu

Pichani ni mwanga wa moto unaotoka ndani ya soko la mitumba la Karume lililopo maeneo ya Ilala jirani na Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam  ambalo linateketea na moto usiku huu.  Taarifa zilizotufikia katika meza ya usiku zinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika  kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo  hilo. Tunafuatilia kujua kama kuna watu walioathirika na moto huo pamoja...

 

11 years ago

Habarileo

Nape: Kiborloni msichague wapinzani

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametaka wananchi wa Kata ya Kiborloni mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, kutochagua chama cha upinzani. Nape alisema hayo jana wakati akimnadi mgombea udiwani wa CCM, Kata ya Kiborloni, Willy Aidando kwenye mkutano wa hadhara, uliofanyika katika viwanja vya Shah Tours katika Manispaa ya Moshi.

 

10 years ago

Michuzi

MEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBURAHATI AAHIDI KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA SOKO JIPYA MWEZI UJAO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akimsikiliza kwa makini mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Mburahati, Mkude Higilo (kulia) wakati alipofanya ziara sokoni hapo kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge. Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wafanyabiashar wa soko la Mburahati wakati wa ziara yake sokoni hapo ambapo alikutana na...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndesamburo njiapanda

Mbunge wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo ana siku 72 za kuamua kugombea tena kiti hicho au la, ili kupisha wanachama wengine watangaze nia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani