Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDOA YA CATHY YACHOKONELEWA

Na Imelda Mtema
MKONGWE Bongo Movies, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa kuna mwanamke ambaye anaichokonoa ndoa yake kwa nia ya kuivunja. Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akizungumza na mwandishi wetu, Cathy alisema amechunguza na kugundua kuna mwanamke ambaye anatuma meseji kwa mumewe na kwake kwa lengo la kuwagombanisha. “Anatumia kila njia kuisambaratisha ndoa yangu, anajisumbua, najua ni mwanamke...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAWIFI WAITIKISA NDOA YA CATHY

Stori: Gladness Mallya NDOA ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ipo katika mtikisiko mkubwa kufuatia mawifi zake kumpenda zaidi mwanamke aliyezaa na mumewe kabla hajaolewa. Msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Chanzo makini kinasema Cathy yupo katika wakati mgumu kwani amesimama na mumewe tu na hakuna hata wifi mmoja ambaye anamkubali, bali wote wameelekeza nguvu...

 

11 years ago

GPL

CATHY: MIAKA 13 YA NDOA NIACHIKE, MH!

Stori: GLADNESS MALLYA MSANII mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa hawezi kuachika kwenye ndoa yake iliyodumu kwa miaka 13 na wanaosubiri aachwe, watasubiri sana. Msanii mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akizungumza na paparazi wetu juzi Cathy alisema kuwa, amekuwa akizushiwa kwamba anatoka nje ya ndoa na wasanii tofauti lakini hayo ni...

 

11 years ago

GPL

CATHY: USTAA KWENYE NDOA NI TATIZO

Na Rhoda Josiah MSANII maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ’Cathy’ amewataka wasanii wenzake kutofanya ustaa kwenye ndoa zao kwani ndiyo chanzo cha kuvunjika kwa ndoa nyingi. Msanii maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ’Cathy’. Akipiga stori na paparazi wetu, Cathy alisema kabla ya kuolewa lazima uwe na utayari wa kuolewa na kujuana kwa undani zaidi na mwenzio kabla...

 

11 years ago

GPL

CATHY AFUNGUKA MCHEPUKO KATIKA NDOA

  Makala: Gabriel Ng’osha TUNAENDELEA na makala haya ambayo tuliyaanza wiki mbili zilizopita, mwigizaji Sabrina Rupia ‘Cathy’ anafunguka hatua mbalimbali ambazo alipitia katika maisha yake.
Mwandishi: Kwa nini uliamua kufanya shughuli za ufugaji? Mwigizaji  wa Bongo Muvi, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Cathy: Ufugaji na kilimo ni vitu ambavyo vimo kwenye damu, nimezaliwa na kukulia mashambani na...

 

9 years ago

Bongo Movies

Cathy Akataa Ndoa Yake Kuwa ‘Action And Cut’

Mambo ya ndoa! Mwigizaji wa kitambo ambaye ni zao la kundi la zamani la Nyota Ensembels lililokuwa likirusha michezo yake kupitia Runinga ya ITV, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa yeye ni msanii lakini maisha ya kisanii hayapeleki kwenye ndoa yake kwani ndoa siyo mambo ya ‘action and cut’ kama wanavyofanya lokesheni.

Cathy ameliambia Ijumaa Wikienda kwamba, ndoa nyingi za mastaa huwa hazidumu kwa sababu huchukua maisha ya nje ya ndoa na kuyapeleka kwenye ndoa ndipo wanapojikuta...

 

9 years ago

GPL

CATHY AKATAA NDOA YAKE KUWA ‘ACTION AND CUT’

Imelda Mtema Mambo ya ndoa! Mwigizaji wa kitambo ambaye ni zao la kundi la zamani la Nyota Ensembels lililokuwa likirusha michezo yake kupitia Runinga ya ITV, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa yeye ni msanii lakini maisha ya kisanii hayapeleki kwenye ndoa yake kwani ndoa siyo mambo ya ‘action and cut’ kama wanavyofanya lokesheni. Mwigizaji wa kitambo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Cathy...

 

10 years ago

GPL

CATHY ATESWA NA UPWEKE!

IMELDA MTEMA MSANII mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo,  Sabrina Rupia ‘Cathy’ amesema kuwa kwa sasa yupo katika kipindi kigumu cha upweke kutokana na mume wake kuhamishiwa Kisiwani Unguja kikazi. MSANII mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo,  Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akizungumza na mwandishi wetu, Cathy alisema kuwa hakuna kitu kigumu na kinachomtesa kama kutenganishwa na mtu ambaye anampenda...

 

11 years ago

GPL

MAWIFI WAMKERA CATHY

Stori: Gladness Mallya MSANII mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa anakerwa na tabia za mawifi kuwachukia wake za kaka zao bila sababu za msingi. Msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ Akichonga na paparazi wetu, Cathy alisema mawifi wengi huwachukia na kuwawekea vinyongo wake wa kaka zao hata kama hawajawakosea, kitu ambacho kinamkera na anaamini siyo yeye peke...

 

11 years ago

GPL

CATHY: NITAKUFA NAIGIZA

Stori:Andrew Carlos MKONGWE wa filamu kutoka Bongowood, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa hataacha kuigiza mpaka siku anaingia kaburini. Mkongwe wa filamu kutoka Bongowood, Sabrina Rupia ‘Cathy’  Akipiga stori mbilitatu na mwandishi wetu, Cathy ambaye aliyetamba na Tamthiliya ya Simu ya Mkononi alimshukuru mumewe kwa kumpa sapoti mpaka alipofikia. “Kwenye filamu imeanza kuigiza toka sini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani