Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDOA YA KARNE BONGO

Mzee Nkwabi Ngobola Kapimbi (91) baada ya kufunga pingu za maisha na mkewe Maria Mkiwa (78). Jelard Lucas na Hamida Hassan
Mwaka mpya mambo mapya.
Katika tukio linaloweza kuitwa kama ndoa ya karne, mzee mmoja mwenye umri wa miaka 91, Nkwabi Ngobola Kapimbi, wiki iliyopita alifunga pingu za maisha na mkewe Maria Mkiwa (78) mbele ya mchungaji Thobias Shilole wa Kanisa la Maombezi huko Kibaha mkoani Pwani.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Harusi ya Karne Bongo, Kupiga Picha Kenya, Honeymoon Ugiriki

harusi dar (4)Maharusi, James Katagila na Prugensiana Kahandukahao (waliopo katikati) wakipendeza katika pozi na wapambe wao.

HARUSI ya karne Bongo ndilo neno linalopendeza kutamkwa kuelezea bonge la sherehe ya ndoa inayoendelea kuwa gumzo kubwa kwenye vinywa vya wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam.

Harusi hiyo ilifanyika Jumamosi iliyopita kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar baada ya ndoa kufungwa kwenye Kanisa la Kristo Mfalme, Tabata kati ya bwana harusi, James Katagila na bibi harusi, Prugensiana...

 

11 years ago

GPL

AKI WA BONGO MUVI AFUNGA NDOA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan Cherekochereko! Msanii wa filamu za Kibongo, Meya Shaban ‘Aki wa Bongo Muvi’ ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa na msanii mwenzake, Amina Shaban, Ijumaa Wikienda lilikuwepo ndani ya nyumba. Maharusi hao wakisindikizwa na wapambe kuingia ukumbini. Staa huyo wa Sinema ya Devil Kingdom ya mwigizaji Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ alifunga ndoa hiyo Ijumaa...

 

10 years ago

Vijimambo

Simba, Yanga za karne ya 21.

Tangu 2000, Simba imeifunga Yanga mara 11, Yanga ikishinda mechi tano tu, huku wachezaji waliowahi kufunga mabao katika mechi kati ya miamba hao waliosalia vikosini humo ni watatu tu.Wakati mechi ya watani wa jadi ikitarajiwa kuchezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, timu ya Simba inaongoza kwa kuifunga Yanga mara nyingi zaidi kwenye karne ya 21.

Kwa mujibu wa rekodi zetu tangu kuingia mwaka 2000, Simba imeifunga Yanga mara 11, sare mara 15, huku Yanga ikishinda mechi...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli, Lowassa pambano la karne

Wakati zikiwa zimesalia siku 14 kabla ya kuanza kwa kampeni za urais, ubunge na udiwani, macho na masikio ya wengi yanaelekezwa kwa wagombea wawili kutoka vyama vikuu vya siasa, Dk John Magufuli wa CCM na Edward Lowassa wa Chadema, ambao uchambuzi wa gazeti hili unaonyesha wana mengi yanayoshabihiana.

 

10 years ago

Mwananchi

Huu si mfumo wa elimu wa karne ya 21

Licha ya rasilimali na utajiri mwingi tulionao, Tanzania ni moja ya nchi masikini duniani. Umaskini wa nchi yetu unasababishwa na mambo kadhaa yakiwamo ombwe la uongozi, mgawanyo wa rasilimali za nchi usio sawa na mfumo duni wa elimu.

 

5 years ago

Michuzi

HUYU NDIE RAIS WA KARNE JPM

Leo nimemsikiliza kwa Makini san Rais wetu Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli wakati akimuapisha waziri wa katiba na Sheria Mhe Mwigullu Madelu Nchemba na haya ndio mananeo yaliyogusa moyo wangu

-JPM yuko tayari kutuma ndege kwenda Madagascar kuleta dawa inayotajwa kutibu virusi vya korona, hapa anamanisha yuko tayari kufanya chochote chema kwa wananchi wake

- JPM ameonyesha kusikitishwa na jinsi watu wanaofariki na korona wanavyoshughulikiwa akitolea mfano tukio la Marehemu Dc Evod Mmanda...

 

11 years ago

GPL

HISPANIA YAPATA KIPIGO CHA KARNE

RIO DE JANEIRO, Brazil
INAWEZEKANA usiamini kilichotokea, hiyo ni kama hukupata nafasi ya kuuona mchezo kati ya Hispania ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia, dhidi ya Uholanzi, jana, ambapo mabingwa hao walipata kipigo kikali na cha aibu.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Binti wa miaka 2 India shujaa wa karne kulenga mishale

dolly-india-archer_3246782b

Dressing yourself.  Remembering to say ‘please’ and ‘thank you’. These are the usual achievements of your average 2-year-old.

Step forward Dolly Shivani Cherukuri. Nine days before her third birthday, the eagle-eyed archer became the youngest Indian to score more than 200 points at a trial event, according to the India Book of Records.

Dolly scored a total of 388 points. She began by firing 36 arrows at a target 15 feet away, then shot 36 more, this time from 21 feet.

The young...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WALIOHUDHURIA MPAMBANO WA KARNE KATI YA MAYWEATHER NA PACQUIAO

Beyonce na Jay Z wakifuatilia mpambano wa Floyd Mayweather na Manny Pacquiao.
Justin Bieber katika pozi na Floyd Mayweather kabla ya pambano lake dhidi ya Manny Pacquiao leo alfajiri. Bondia wa zamani, Mike Tyson akiwa ndani ya Ukumbi wa MGM Grand jijini Las Vegas, Marekani.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani