Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yamsafisha Dk Magufuli

>Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, (NEC) Jaji Damian Lubuva amesema mgombea urais mteule wa CCM, Dk John Magufuli hapigi kampeni bali kinachofanyika ni utambulisho wa mgombea wao kwa wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Takukuru yamsafisha Nape

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani hapa, imekanusha tuhuma za rushwa zilizoelezwa na baadhi ya vyombo vya habari dhidi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM), Nape Nnauye.

 

10 years ago

Habarileo

Wizara yamsafisha Nyalandu

WIZARA ya Maliasili na Utalii imekanusha tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa katika wizara hiyo za Waziri Lazaro Nyalandu kutoa leseni ya Rais bure ya kuua wanyamapori. Imebainisha kuwa habari hizo siyo za kweli, bali zinalenga kuchafua jina la Wizara pamoja na Waziri husika.

 

10 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI ACHUKUA FOMU NEC

Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, (NEC) Adman Nyando, akimkabidhi fomu ya kuomba kugombea Urais, Mgombea mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, leo Agosti 4, 2015, katika Ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo) 

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC

Mgombea urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damiani Lubuva, wakati alipowasili ofisi hizo. …Akiwa na mgombea mwenza, Samiah Hassan Suluhu.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Sauti ya mwenyekiti wa NEC akimtangaza magufuli

Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha CCM John Pombe Magufuli ndiye rais mteule wa taifa la Tanzania baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumapili.

 

10 years ago

Vijimambo

DK. MAGUFULI KUCHUKUA FOMU NEC KESHO

Na Mwandishi Wetu
MGOMBEA mteule wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, kesho Jumanne, Agosti 3, 2015, atatinga Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kuchukua fomu ya kuomba kugombea Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba Mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari, leo jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, Msafara wa Dk. Magufuli  kwenda kuchukua fomu hiyo, utaanza saa tano asubuhi ukitokea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa...

 

10 years ago

Daily News

Magufuli, Amina, Migiro win NEC vote


Magufuli, Amina, Migiro win NEC vote
Daily News
AFTER a nail-biting process, the National Executive Committee (NEC) of Chama Cha Mapinduzi (CCM) selected Dr John Magufuli, Ambassador Amina Salum Ali and Dr Asha Rose Migiro, as the presidential aspirants whose names were to be taken to the ...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa, Magufuli rasmi, Mtikila aenguliwa NEC

Sasa ni rasmi; Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli watavaana katika mpambano wa kuwania kuingia Ikulu, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwapitisha kugombea urais pamoja na wengine sita, huku watatu wakitemwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aionya NEC, Magufuli atambia barabara

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesifu kazi ya ujenzi wa barabara katika miaka 10 iliyopita, huku mgombea wa Chadema, Edward Lowassa akiituhumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa imempotosha Rais Jakaya Kikwete.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani