Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yasema matokeo yatatoka kwa wakati

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imewahakikishia wananchi na vyama vya siasa kuwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu katika ngazi zote za Udiwani, Ubunge na Urais yatatolewa kwa wakati bila ya mizengwe yoyote.

 NEC imesema imejipanga kuhakikisha kuwa hakuna ucheleweshaji wa matokeo yoyote ya uchaguzi huo kwa kisingizio cha changamoto za mfumo wa uingizaji matokeo kutoka vituoni.

Uthibitisho huo umetolewa jijini Mbeya na Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, anayeshughulikia masuala ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

NEC YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA MAJIMBO 3

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo matatu ambayo ni Lulindi, Makunduchi na Paje kama yanavyoonekana kwenye jedwali hapo juu. Matokeo mengine ya awali ya urais yataendelea kuwajia kadri yatakavyokuwa yakitolewa na…

 

10 years ago

Mwananchi

Hatutaahirisha Uchaguzi, yasema NEC

Dar es Salaam. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haina mpango wa kutaka kuiongezea muda Serikali ya Awamu ya Nne kwa kuahirisha Uchaguzi Mkuu ambao kikatiba hutakiwa kufanyika Oktoba ya mwaka wa uchaguzi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

NEC yasema wenzetu wametugeuka

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akemea hatua ya viongozi wa kisiasa kushawishi wafuasi wao wasiondoke eneo la kupigia kura huku akibainisha ni kinyume cha taratibu.

The post NEC yasema wenzetu wametugeuka appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Habarileo

Kura ya maoni ipo palepale, yasema NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesisitiza kwamba tarehe ya kufanyika kwa kura ya maoni kuhusu Katiba Inayopendekezwa ipo pale pale na hakuna mabadiliko yoyote kama inavyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari.

 

9 years ago

StarTV

Mahakama Kuu yasema maelekezo ya NEC ni sahii ya kutokukaa mita 200.

Mahakama Kuu Maalamu Kanda ya Dar Es Salaam, imemaliza Utata dhidi ya uhalali wa wapiga kura kukaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kupiga kura baada ya kupiga kura na kusema maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi yapo sahihi.

Utata huo umekuja  baada ya Mahakama hiyo kutoa ufafanuzi wa kifungu 104(1) namba 37 ya Mwaka 2015 iliyofunguliwa na Amy Kibatala aliyetaka ufafanuzi wa Tafsiri ya Kifungu cha 104 (1) sura 543 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi iliyorejewa mwaka 2002 kuhusu kukaa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Matokeo Zambia kutolewa wakati wowote

Matokeo ya kura za urais nchini Zambia sasa yameanza kukamilika katika ukumbi wa kimataifa wa Mulungushi

 

9 years ago

Habarileo

Tangazeni matokeo vituoni -NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema katika kuonesha uwazi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu, imebariki vyombo vya habari kutangaza matokeo katika vituo vya kupigia kura. Hatua hiyo itawawezesha wananchi kujua matokeo ya vituo vyao na kura za wagombea, hivyo kuondoa malalamiko.

 

9 years ago

Habarileo

‘Hakuna chama kilichohoji matokeo ya NEC’

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vyama vya siasa, vilipewa nafasi ya kuhoji matokeo waliyokuwa wakitangaza kutoka kwenye majimbo na hakuna chama kilichofanya hivyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani