NEC yasema wenzetu wametugeuka
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akemea hatua ya viongozi wa kisiasa kushawishi wafuasi wao wasiondoke eneo la kupigia kura huku akibainisha ni kinyume cha taratibu.
The post NEC yasema wenzetu wametugeuka appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Apr
Hatutaahirisha Uchaguzi, yasema NEC
10 years ago
Habarileo28 Mar
Kura ya maoni ipo palepale, yasema NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesisitiza kwamba tarehe ya kufanyika kwa kura ya maoni kuhusu Katiba Inayopendekezwa ipo pale pale na hakuna mabadiliko yoyote kama inavyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari.
9 years ago
StarTV30 Sep
NEC yasema matokeo yatatoka kwa wakati
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imewahakikishia wananchi na vyama vya siasa kuwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu katika ngazi zote za Udiwani, Ubunge na Urais yatatolewa kwa wakati bila ya mizengwe yoyote.
NEC imesema imejipanga kuhakikisha kuwa hakuna ucheleweshaji wa matokeo yoyote ya uchaguzi huo kwa kisingizio cha changamoto za mfumo wa uingizaji matokeo kutoka vituoni.
Uthibitisho huo umetolewa jijini Mbeya na Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, anayeshughulikia masuala ya...
9 years ago
StarTV24 Oct
Mahakama Kuu yasema maelekezo ya NEC ni sahii ya kutokukaa mita 200.
Mahakama Kuu Maalamu Kanda ya Dar Es Salaam, imemaliza Utata dhidi ya uhalali wa wapiga kura kukaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kupiga kura baada ya kupiga kura na kusema maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi yapo sahihi.
Utata huo umekuja baada ya Mahakama hiyo kutoa ufafanuzi wa kifungu 104(1) namba 37 ya Mwaka 2015 iliyofunguliwa na Amy Kibatala aliyetaka ufafanuzi wa Tafsiri ya Kifungu cha 104 (1) sura 543 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi iliyorejewa mwaka 2002 kuhusu kukaa...
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Tujifunze umuhimu wa michezo kwa wenzetu
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Wachina hawa ni wenzetu kweli au Kuomintang?
BAADHI ya wafanyabiashara wa Kichina wamekuwa na tabia ya kuingilia biashara za wazalendo hapa nc
Mwandishi Wetu
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Tunawekeza kwenye migogoro, wenzetu maendeleo
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Wenzetu wameendelea kwa kujali sayansi na teknolojia
10 years ago
Mwananchi06 Apr
MAONI: Tumedharau michezo, wenzetu wanavuna fedha