Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachina hawa ni wenzetu kweli au Kuomintang?

BAADHI ya wafanyabiashara wa Kichina wamekuwa na tabia ya kuingilia biashara za wazalendo hapa nc

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...

 

10 years ago

Mwananchi

Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?

Katika makala yangu yaliyochapishwa gazetini tarehe Julai 6, iliyokuwa na kichwa : “Fahamu namna ya kuboresha uwezo wako wa kusoma,” nilieleza kuwa sharti moja la kusoma vizuri ni kuwa na uwezo wa kusoma huku ukitathmini ukweli wa habari unayosoma. Kuna wasomaji kadhaa wameniomba nieleze jinsi mtu anavyoweza kutathmini anachokisoma.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

NEC yasema wenzetu wametugeuka

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akemea hatua ya viongozi wa kisiasa kushawishi wafuasi wao wasiondoke eneo la kupigia kura huku akibainisha ni kinyume cha taratibu.

The post NEC yasema wenzetu wametugeuka appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Tunawekeza kwenye migogoro, wenzetu maendeleo

Fainali za Kombe la Dunia zimekwisha. Ujerumani wametwaa ubingwa wa kuifunga Argentina bao 1-0 katika mchezo wa fainali wiki moja iliyopita nchini Brazil.

 

10 years ago

Mwananchi

Tujifunze umuhimu wa michezo kwa wenzetu

Mashindano ya 13 ya Shirikisho la Shule za Sekondari Afrika Mashariki na Kati (Feasssa) yalifunguliwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Tumedharau michezo, wenzetu wanavuna fedha

>Miezi michache imebaki kabla ya Tanzania kuungana na mataifa mengine zaidi ya 50 ya Afrika kwenye michezo ya bara hili iliyopangwa kufanyika Septemba huko Kongo-Brazaville.

 

11 years ago

Mwananchi

Wenzetu wameendelea kwa kujali sayansi na teknolojia

Matumizi ya sayansi na teknolojia katika sekta mbalimbali za maendeleo ni muhimu ili kuliwezesha taifa letu lisonge mbele.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif: Wenzetu hawana nia njema nasi

Naomba samahani natumia simu kuweka machapisho. Hivyo napambana na changamoto kadhaa. Tembelea link hiyo hiyo hapo chini. http://www.bbc.com/swahili/medianuai/2015/10/151021_maalim-seif

The post Maalim Seif: Wenzetu hawana nia njema nasi appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Michuzi

kitendo bila kuchelewa....cheki polisi wa wenzetu walivyo sharp!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani