Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Neema wa 20%: Sijawahi Kuigiza Filamu za Kikubwa

MWIGIZAJI wa kike mwenye hisia katika filamu za majonzi Asfa Omary ‘Neema wa 20%’ amefunguka kwa kusema kuwa toka aanze kuigiza alikuwa hajawahi kuigiza filamu akivaa uhusika kama mtu mzima bali ni mtoto tu, lakini kwa mara ya kwanza ameigiza kama mama mjamzito.

“Nimeigiza filamu nyingi sana lakini hata siku moja nilikuwasijawahi kabisa kuigiza filamu za kiutu uzima nikiwa kama mama mjamzito au mama wa familia, lakini kwa mara ya kwanza katika filamu ya Huba nimeigiza hivyo ilikuwa kazi...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Sijawahi Kuigiza Filamu za Kikubwa- Neema 20%

MWIGIZAJI wa kike mwenye hisia katika filamu za majonzi Asfa Omary ‘Neema wa 20%’ amefunguka kwa kusema kuwa toka aanze kuigiza alikuwa hajawahi kuigiza filamu akivaa uhusika kama mtu mzima bali ni mtoto tu, lakini kwa mara ya kwanza ameigiza kama mama mjamzito.

“Nimeigiza filamu nyingi sana lakini hata siku moja nilikuwasijawahi kabisa kuigiza filamu za kiutu uzima nikiwa kama mama mjamzito au mama wa familia, lakini kwa mara ya kwanza katika filamu ya Huba nimeigiza hivyo ilikuwa kazi...

 

10 years ago

CloudsFM

SHAMSA FORD:FILAMU YA ‘I HATE MY WIFE’ ILIKUWA NI NGUMU SANA KWANGU KUIGIZA,KWA SABABU YA KUIGIZA KICHAWI.

Msanii wa filamu za Kibongo,Shemsa Ford amefunguka kati ya filamu iliyompa wakati mgumu wakiwa ‘’location’ ni filamu ya I hate my wife kwani aliigiza kama mke mchawi anayemroga mumewe.’Yaani kati ya filamu iliyonipa wakati mgumu kuigiza ni wakati naigiza filamu ya I hate my wife kutokana na kuigiza kama mchawi mshabiki walijua kuwa ndiyo tabia yangu lakini pia kuvaa uhusika wa kiuchawi ni ngumu sana’’alisema Shemsa Ford.

 

11 years ago

GPL

HEMEDY AALIKWA ZAMBIA KUIGIZA FILAMU

Hemedy Suleiman'PHD'.…

 

9 years ago

Bongo5

Rihanna kuigiza kwenye filamu mpya ‘Valerian’

Director atakayeiongoza filamu mpya iitwayo ‘Valerian’, Luc Besson ametangaza rasmi kuwa mwimbaji maarufu Rihanna ataigiza kwenye filamu hiyo na atakuwa na nafasi kubwa. Kupitia Instagram Luc aliandika, “RIHANNA is in VALERIAN!!!!! ….and she has a big part!! I’m Sooo excited!!!”. Filamu hiyo ambayo itakuwa na bajeti kubwa itaanza kushootiwa mwezi January, 2016 huko Ufaransa, huku […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Rihanna akubali kuigiza katika filamu mpya

Mwelekezi wa filamu kutoka Ufaransa Luc Besson amefichua kwamba mwanamuziki mashuhuri duniani Rihanna ataigiza kwenye filamu yake ijayo.

 

9 years ago

Bongo5

Meek Mill kukosa shavu la kuigiza filamu ya Will Smith kutokana na kesi yake

Meek-Mill

Rapper Meek Mill atashindwa kuigiza uhusika wake katika filamu ya Will Smith kutokana na hivi karibuni kupatikana na hatia ya kukiuka masharti ya muda wa matazamio aliopewa na mahakama kufuatia kesi ya miaka 15 iliyopita ya kumiliki silaha na madawa ya kulevya.

Meek-Mill

Rapper huyo wa Philadelphia, anatarajiwa kusomewa hukumu yake February 5.

Kwa mujibu wa mtandao wa Page Six, Meek Mill alikuwa amepanga kusafiri kwenda Hollywood November kujadili uwezekano wa kuigiza kwenye filamu iitwayo ’12...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Nape ahadi neema tasnia ya filamu

FL1a

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifanya mahojiano na mwandishi wa Habari wa  Ayo TV alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Filamu ya HOME COMING katika ukumbi wa Century Cenema jana jijini Dar es Salaam.

FL1c

Mmoja wa washiriki katika filamu ya HOME COMING Bw. Issa (Alfa jina alilotumia katika filamu hiyo) akihojiwa na mwandishi wa Habari wa Azam TV Bw. Taji Liundi wakati wa hafla ya uzinduzi wa filamu hiyo jana jijini Dar es Salaam.

FL2a

Mke wa Mhe....

 

10 years ago

GPL

TUZO ZA FILAMU 2015 ZAFANA, SERIKALI YAHAIDI NEEMA

Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana. Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani