Netanyahu:Usalama wa Israel uzingatiwe
Waziri mkuu nchini Israel asema kuwa hakutakuwa na makubaliano ya kusitishwa vita hadi pale usalama wa Israel utakapozingatiwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Upinzani wampongeza Netanyahu Israel
Kiongozi wa upinzani nchini Israeli Yitzhak Hertzog amempongeza Benjamin Netanyahu kwa ushindi wake katika uchaguzi wa ubunge
10 years ago
BBCSwahili08 Mar
Raia wa Israel wampinga Netanyahu
Watu zaidi ya elfu 25 wameshiriki kwenye mhadhara mjini Tel Aviv, kumpinga waziri mkuu, Benjamin Netanyahu
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Netanyahu atimua mawaziri wawili Israel
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amewatimua mawaziri wawili kwa tuhuma za kula njama dhidi yake
10 years ago
BBCSwahili07 May
Netanyahu aunda serikali ya umoja Israel
Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameunda serikali ya pamoja na chama cha Kiyahudi cha Jewish Home
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-76ya1h8vNIw/VUugyCkhFvI/AAAAAAAHWNA/suuILdAfgrM/s72-c/0%2C%2C18427825_303%2C00.jpg)
NETANYAHU AUNDA SERIKALI YA MSETO ISRAEL
![](http://2.bp.blogspot.com/-76ya1h8vNIw/VUugyCkhFvI/AAAAAAAHWNA/suuILdAfgrM/s640/0%2C%2C18427825_303%2C00.jpg)
Waziri Mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu,ameunda serikali mpya ya mseto kabla ya kumalizika muda uliopangwa kwa kiongozi huyo kuwasilisha serikali yake.Netanyahu alifanikiwa kukishawishi chama cha kiyahudi cha mrengo wa kulia cha Jewish Home Party baada ya Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali inayoondoka madarakani, Avigdor Lieberman, kukataa chama chake cha Yisrael Baitenu, kuwa sehemu ya muungano wa Likud.
Makubaliano hayo ya serikali ya mseto...
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
10 years ago
BBCSwahili03 Mar
Netanyahu kuhutubia Congress leo
Waziri wa mambo ya nje wa Israel Banjamin Netanyahu atalihutubia Bunge la Congress leo kuhusu mpango wa Nyuklia wa Iran
10 years ago
BBCSwahili04 May
Netanyahu ashtumu ubaguzi Israeli
Benjamin Netanyahu ameelezea mshangao wake binafsi kwa mwanajeshi wa Israeli wa asili ya Ethiopia ambaye alipigwa na polisi wa Israeli
9 years ago
BBCSwahili22 Oct
Ujerumani yapinga madai ya Netanyahu
Ujerumani imesisitiza kwamba ndiyo inayowajibika kwa mauaji ya Wayahudi wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania