Netanyahu aunda serikali ya umoja Israel
Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ameunda serikali ya pamoja na chama cha Kiyahudi cha Jewish Home
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-76ya1h8vNIw/VUugyCkhFvI/AAAAAAAHWNA/suuILdAfgrM/s72-c/0%2C%2C18427825_303%2C00.jpg)
NETANYAHU AUNDA SERIKALI YA MSETO ISRAEL
![](http://2.bp.blogspot.com/-76ya1h8vNIw/VUugyCkhFvI/AAAAAAAHWNA/suuILdAfgrM/s640/0%2C%2C18427825_303%2C00.jpg)
Waziri Mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu,ameunda serikali mpya ya mseto kabla ya kumalizika muda uliopangwa kwa kiongozi huyo kuwasilisha serikali yake.Netanyahu alifanikiwa kukishawishi chama cha kiyahudi cha mrengo wa kulia cha Jewish Home Party baada ya Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali inayoondoka madarakani, Avigdor Lieberman, kukataa chama chake cha Yisrael Baitenu, kuwa sehemu ya muungano wa Likud.
Makubaliano hayo ya serikali ya mseto...
10 years ago
BBCSwahili08 Mar
Raia wa Israel wampinga Netanyahu
Watu zaidi ya elfu 25 wameshiriki kwenye mhadhara mjini Tel Aviv, kumpinga waziri mkuu, Benjamin Netanyahu
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Upinzani wampongeza Netanyahu Israel
Kiongozi wa upinzani nchini Israeli Yitzhak Hertzog amempongeza Benjamin Netanyahu kwa ushindi wake katika uchaguzi wa ubunge
10 years ago
BBCSwahili17 Aug
Netanyahu:Usalama wa Israel uzingatiwe
Waziri mkuu nchini Israel asema kuwa hakutakuwa na makubaliano ya kusitishwa vita hadi pale usalama wa Israel utakapozingatiwa.
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Netanyahu atimua mawaziri wawili Israel
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amewatimua mawaziri wawili kwa tuhuma za kula njama dhidi yake
5 years ago
BBCSwahili27 Jun
Maafisa wa Umoja wa Mataifa washtushwa na video ya ngono ndani ya gari la UN Israel
Umoja wa Mataifa unasema kwamba 'umeshtuka na kukerwa' na kanda ya video ya tendo la ngono lililofanyika ndani ya gari moja la Umoja huo nchini Israel.
5 years ago
CCM Blog30 May
SPIKA MPYA WA BUNGE LA IRAN AHIMIZA UMOJA WA WAISLAMU DHIDI YA ISRAEL
![Spika mpya wa Bunge la Iran ahimiza umoja wa Waislamu dhidi ya Israel](https://media.parstoday.com/image/4bv9990300f7f21nvdi_800C450.jpg)
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ametangaza mapendekezo maalumu ya uundwaji wa serikali ya Umoja wa kitaifa nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili21 Sep
Afghanistan kubuni serikali ya umoja
Makubaliano ya kubuni serikali ya umoja wa kitaifa nchini Afghanistan yanatarajiwa kutiwa sahihi hii leo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania