Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEW AUDIO: ALIKIBA - KIMASOMASO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

ALIKIBA

11 years ago

Bongo5

Audio: G-Lover azungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba

Moja ya mdau mkubwa wa muziki nchini na mmiliki wa G Records, studio iliyomtoa Alikiba, Guru Ramadhan aka DJ G-Lover, amezungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba aliyewahi kuwa chini yake. Akizungumza na Vijimambo, Lover ambaye akiwa meneja wa Alikiba walitoa album mbili, amewaka bayana uwezo wa kila msanii na jinsi walivyojikuta kwenye biashara. […]

 

11 years ago

Bongo5

Audio: Jokate azungumzia filamu, muziki, biashara, Alikiba vs Diamond, Wema na mapenzi

Jokate Mwegelo yupo jijini Nairobi, Kenya ambapo hata hivyo hajaweka wazi ameenda kufanya nini lakini aliweza kukutana na Mzazi Willy M Tuva kwenye show ya redio inayosikilizwa zaidi nchini humo, ‘Mambo Mseto’ ya kituo cha Radio Citizen kuzungumzia masuala mbalimbali kuanzia filamu, muziki, biashara, ushindani kati ya Alikiba na Diamond na uhusiano. Kuhusu nyimbo mpya […]

 

9 years ago

Bongo5

Teaser: Alikiba aonjesha collabo yake mpya na Christian Bella ‘Nagharamia’ (Audio)

Alikiba a.k.a King Kiba na Christian Bella a.k.a mfalme wa masauti wamekuwa wakitoa ahadi ya kufanya collabo kwa muda mrefu, na mashabiki wamekuwa na shauku ya kusikia kile kilichofanywa na wakali hao kwa kuzingatia uwezo mkubwa walionao. ‘Nagharamia’ ndio jina la wimbo huo ambao unatarajiwa kutoka hivi karibuni. Alikiba ameshare kionjo kidogo cha wimbo huo […]

 

9 years ago

MillardAyo

Ben Pol kamwomba radhi Alikiba ??!! ishu yao imeisha hivi live #OnIAR.. (+Audio)

Jana December 23 2015 gossic cop wa show ya XXL #CloudsFM, Soudy Brown alifanikiwa kumpata Alikiba… maswali ya Soudy kwa Alikiba ilikuwa jinsi alivyopokea maneno ya Ben Pol kwenye post ya Twitter ambayo alimtaja !! Alikiba alisema hana neno na wala hana tatizo na Ben Pol, kwa hiyo hata kilichoandikwa na Ben Pol alikichukulia poa […]

The post Ben Pol kamwomba radhi Alikiba ??!! ishu yao imeisha hivi live #OnIAR.. (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawakilishi wa Afrika watatutoa kimasomaso?

Historia inaonyesha kuwa hakuna timu hata moja kutoka Afrika iliyofanikiwa kuvuka hatua ya robo fainali za Kombe la Dunia, ingawa miaka minne iliyopita Ghana ‘Black Stars’ walikaribia kuvunja rekodi hiyo.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wapongeza DASIP kuwatoa kimasomaso


Na Ahmed Makongo, Bunda
WAKULIMA walioko kwenye vikundi vinavyowezeshwa na Mradi wa Uwekezaji katika Kilimo Wilayani (DASIP) wilayani Bunda,  wameupongeza mpango huo kwa uwainua kiuchumi.
Baadhi ya wakulima hao waliipongeza DASIP kwa kusaidia kuinua maisha yao tofauti na ilivyokuwa miaka michache iliyopita.
Wakiongozwa na mkulima bora wa mkoa wa Mara, Mugole Lusungura, walisema kabla ya mradi huo kuanza, walikuwa na maisha duni ikilinganishwa na sasa.
“Kabla ya DASIP, maisha yetu yalikuwa dunia...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WALIOTUTOA KIMASOMASO KIMATAIFA 2014

Diamond Platnumz Makala: Chande Abdallah
WAKATI tukimaliza mwaka 2014, wengi tunakumbuka matukio mbalimbali ya kusikitisha na machache ya kufurahisha, kama Watanzania tunapaswa kufurahia na kuwasapoti mastaa wachache waliofanikiwa kututangaza kimataifa kupitia fani na kazi zao. Wafuatao ni miongoni mwa mastaa hao: Idris Sultan.
Diamond Platnumz
Jamaa kupitia nyimbo zake amefanikiwa… ...

 

10 years ago

GPL

VANESSA AWATOA KIMASOMASO WASANII WA KIKE

Mwanadada anayefanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee. Na Gladness Mallya
MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee kwa mara ya kwanza amewatoa kimasomaso wasanii wa kike Bongo kwa kutwaa tuzo ya kimataifa za All Africa Music Awards ‘AFRIMA’ nchini Nigeria. Akizungumza na paparazi wetu Vanessa ambaye amepata tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani