MASTAA WALIOTUTOA KIMASOMASO KIMATAIFA 2014
Diamond Platnumz Makala: Chande Abdallah WAKATI tukimaliza mwaka 2014, wengi tunakumbuka matukio mbalimbali ya kusikitisha na machache ya kufurahisha, kama Watanzania tunapaswa kufurahia na kuwasapoti mastaa wachache waliofanikiwa kututangaza kimataifa kupitia fani na kazi zao. Wafuatao ni miongoni mwa mastaa hao: Idris Sultan. Diamond Platnumz Jamaa kupitia nyimbo zake amefanikiwa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpsp8urPulNFyWszvl8baPInqmYJH9Uz6fiOc49s5S2lZYafMG2lQoa6ZOB2cFGvugqby*I6grgwWPqgm9CIGVqNJ/THT1.jpg?width=650)
THT YALONDA MASTAA WAPYA 2014
10 years ago
Mwananchi21 Dec
2014 mastaa waling’ara na ‘African Prints’
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Tamasha la matumaini 2014, mastaa waeleza watakavyokamua Taifa
Stori: Centre Spread
ITAKUWA balaa! Siku chache kuelekea kwenye Tamasha la Matumaini, Agosti 8, mwaka huu, mastaa kibao watakaolipamba jukwaa litakalofungwa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar, wameeleza jinsi gani.
Diva wa muziki kutoka pande za Nigeria, Yemi Alade.
Yemi Alade
Diva wa muziki kutoka pande za Nigeria ambaye huwa habahatishi, amesema: “Nitawapagawisha mashabiki kwa kupiga nyimbo zangu zote kali ikiwemo iliyojizolea umaarufu kila kona ya Afrika, Johhny. Mashabiki wategemee...
10 years ago
Bongo503 Jan
Mastaa wa Bongo waliokuwa na ushawishi zaidi kwenye mitandao ya kijamii — 2014
10 years ago
Dewji Blog14 Dec
10 years ago
Michuzi20 Aug
11 years ago
GPL25 Jul
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6XYOWdO67R0/VII3n2UZ79I/AAAAAAABGMI/Oaz4ArokC5g/s72-c/IMG_2963.jpg)
MAONYESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU KUANZA DISEMBA 17-21, 2014 JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-6XYOWdO67R0/VII3n2UZ79I/AAAAAAABGMI/Oaz4ArokC5g/s1600/IMG_2963.jpg)
Kampuni ya Global Education Link (GEL) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Wizara ya Elimu na Ufundi pamoja na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) wameandaa maonyesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu (TIEE) yanayotarajiwa kufanyika Disemba 17 hadi 21 mwaka huu katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-icxoB0KrQmI/U4dvzr_41AI/AAAAAAAFmUI/PSglYTQrW5g/s72-c/unnamed.jpg)
BIA YA SAFARI LAGER YASHINDA TUZO LA UBORA KIMATAIFA 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-icxoB0KrQmI/U4dvzr_41AI/AAAAAAAFmUI/PSglYTQrW5g/s1600/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-oe3dbXMrJTE/U4dwAln2YxI/AAAAAAAFmUQ/O6828cn9K8c/s1600/unnamed.jpg)
Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo...