2014 mastaa waling’ara na ‘African Prints’
Wakati tunaelekea katika siku za mwisho kabla ya kufunga mwaka 2014 ni vyema tukaangalia mafanikio au mazuri ambayo tumeyashuhudia katika tasnia hii.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo3CHICKZ WANAKULETEA AFRICAN PRINTS "PAMBA ZA KIJANJA" KWA BEI POA...PIA NYWELE NA VIPODOZI VINAPATIKANA!
Kwa mawasiliano waweza kutupata katika namba +1(347)-663-0781 na pia unaweza kutu follow kwenye Instagram (3chicks_bahia) ili upate kuona mambo mazuri zaidi.SASA
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/Ally-Jay-kulia-akipokea-kwa-niaba-ya-kundi-lake-la-5-Stars.jpg)
MASTAA WANG’ARA TUZO ZA TEMEKE
 Ally Jay (kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya kundi lake la 5 Stars. Said Fella (kushoto) akipokea moja ya tuzo alizokabidhiwa. KR Muller akipokea tuzo kwa niaba ya Juma Nature.…
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Waafrika vijana watakaong’ara Kombe la Dunia 2014
Katika Fainali za Kombe la Dunia 2014, bara la Afrika litawakilishwa na nchi tano ambazo ni Nigeria, Ghana, Cameroon, Algeria na Ivory Coast.
10 years ago
Habarileo20 Apr
Kikwete kutunuku waliong’ara la 7, Kidato Nne 2014
RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kutoa zawadi kwa wanafunzi, shule, halmashauri na mikoa iliyofanya vizuri katika ufaulu katika mitihani ya Darasa la Saba na Kidato cha Nne mwaka 2014.
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Pitbull ang’ara uzinduzi Kombe la Dunia 2014
Kama uliangalia ufunguzi wa Kombe la Dunia ulipata bahati ya kumwona mwanamuziki Armando Christian Pérez mwenye umri wa miaka 33 ambaye jina lake la jukwaani anaitwa Pitbull, rapa mahiri kutoka nchini Marekani.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpsp8urPulNFyWszvl8baPInqmYJH9Uz6fiOc49s5S2lZYafMG2lQoa6ZOB2cFGvugqby*I6grgwWPqgm9CIGVqNJ/THT1.jpg?width=650)
THT YALONDA MASTAA WAPYA 2014
Wanafunzi wapya walioingia kwa mwaka wa 2014 kwenye nyumba ya kukuzia vipaji nchini THT,wakiwa kwenye picha ya pamoja. Vijana hao wakiwa wamepozi ndani ya jengo la mazoezi ya kuimba na kucheza lililopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.…
10 years ago
GPLMASTAA WALIOTUTOA KIMASOMASO KIMATAIFA 2014
Diamond Platnumz Makala: Chande Abdallah
WAKATI tukimaliza mwaka 2014, wengi tunakumbuka matukio mbalimbali ya kusikitisha na machache ya kufurahisha, kama Watanzania tunapaswa kufurahia na kuwasapoti mastaa wachache waliofanikiwa kututangaza kimataifa kupitia fani na kazi zao. Wafuatao ni miongoni mwa mastaa hao: Idris Sultan.
Diamond Platnumz
Jamaa kupitia nyimbo zake amefanikiwa… ...
11 years ago
Mwananchi09 Jun
BRAZIL 2014: Diego sasa shwari, ang’ara dhidi ya El Salvador
Costa, ambaye anajiandaa kujiunga na Chelsea akitokea Atletico Madrid, hakucheza tangu alipotonesha misuli ya paja katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Floral prints: Mtindo maalumu kwa wanawake
Licha ya kuwepo maendeleo makubwa katika sayansi na teknolojia duniani, lakini ukweli ni kwamba kwenye tasnia ya mitindo mingi imekuwa ikijirudia .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania