Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapongeza DASIP kuwatoa kimasomaso


Na Ahmed Makongo, Bunda
WAKULIMA walioko kwenye vikundi vinavyowezeshwa na Mradi wa Uwekezaji katika Kilimo Wilayani (DASIP) wilayani Bunda,  wameupongeza mpango huo kwa uwainua kiuchumi.
Baadhi ya wakulima hao waliipongeza DASIP kwa kusaidia kuinua maisha yao tofauti na ilivyokuwa miaka michache iliyopita.
Wakiongozwa na mkulima bora wa mkoa wa Mara, Mugole Lusungura, walisema kabla ya mradi huo kuanza, walikuwa na maisha duni ikilinganishwa na sasa.
“Kabla ya DASIP, maisha yetu yalikuwa dunia...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

11 years ago

Mwananchi

Wawakilishi wa Afrika watatutoa kimasomaso?

Historia inaonyesha kuwa hakuna timu hata moja kutoka Afrika iliyofanikiwa kuvuka hatua ya robo fainali za Kombe la Dunia, ingawa miaka minne iliyopita Ghana ‘Black Stars’ walikaribia kuvunja rekodi hiyo.

 

10 years ago

GPL

MASTAA WALIOTUTOA KIMASOMASO KIMATAIFA 2014

Diamond Platnumz Makala: Chande Abdallah
WAKATI tukimaliza mwaka 2014, wengi tunakumbuka matukio mbalimbali ya kusikitisha na machache ya kufurahisha, kama Watanzania tunapaswa kufurahia na kuwasapoti mastaa wachache waliofanikiwa kututangaza kimataifa kupitia fani na kazi zao. Wafuatao ni miongoni mwa mastaa hao: Idris Sultan.
Diamond Platnumz
Jamaa kupitia nyimbo zake amefanikiwa… ...

 

10 years ago

GPL

VANESSA AWATOA KIMASOMASO WASANII WA KIKE

Mwanadada anayefanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee. Na Gladness Mallya
MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee kwa mara ya kwanza amewatoa kimasomaso wasanii wa kike Bongo kwa kutwaa tuzo ya kimataifa za All Africa Music Awards ‘AFRIMA’ nchini Nigeria. Akizungumza na paparazi wetu Vanessa ambaye amepata tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki alisema...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Azam, Yanga watoeni kimasomaso Watanzania

>Wawakilishi wa Tanzania Bara katika michuano ya Afrika, Azam na Yanga zinashuka dimbani wiki ijayo katika harakati za kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Sekondari ya Nangwa yautoa kimasomaso mkoa wa Manyara

“Kila wakati nimekuwa nikiwasisitiza wananchi wasizibeze shule za sekondari za kata, kwani zina manufaa makubwa kwa jamii kutokana na kuwapatia elimu watoto wetu na sasa shule ya sekondari Nangwa ambayo ipo kijijini imeshika nafasi ya saba kitaifa kwa ufaulu.”

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA TALK OF THE TOWN - KUZINDUA MWANA NA KIMASOMASO

USIPIME! Habari ya mjini kwa sasa ni uzinduzi wa nyimbo mbili za Ally Saleh ‘Ali Kiba’, Mwana na Kimasomaso ambazo atazizindua kwenye Tamasha la Matumaini Agosti 8, mwaka huu Uwanja wa Taifa jijini Dar. Mkali wa Bongo Fleva, Ally Saleh ‘Ali Kiba’ Kiba ambaye ni mkongwe kunako muziki wa Bongo Fleva, amefunguka yeye siku zote ni staa na huwa hakosei hivyo mashabiki watarajie burudani kali siku hiyo.
...

 

10 years ago

Vijimambo

Binti wa Michuzi Ajitoa Kimasomaso; Achukua Form ya Ubunge wa Viti Maalum

 
 Zahara Michuzi alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana.
Zahara Michuzi ni binti wa Issa Michuzi blogger na mpiga picha hodari wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anamalizia muda wake sasa.
Binti wa Michuzi mara baada ya kuhitimu elimu yake ya shahada yake ya uchumi UDOM ameona ni vyema akawatumikua wananchi wa nyumbani kwake mkoani Tabora kwa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Idris Sultan aitoa kimasomaso Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots

10329972_10204046474311089_1055068807819044995_o

Mshiriki wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots Idris Sultan ameibuka kidedea kwa kutwaa taji msimu wa 9 wa shindano BBA Hotshots na kujinyakulia kitita cha dola za kimarekani 300,000.

Shindano hilo lilidumu kwa muda miezi 2 sawa na siku 60 na kumalizika usiku leo nchini Afrika Kusini, ambalo lilishirikisha washiriki 26 kutoka nchi mbalimbali za bara la Afrika na kisha baadhi yao kutolewa kwa kukosa kura na matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea ndani ya jumba hilo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani