Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Neymar kukosa kombe la dunia kutokana na kuvunjika mfupa

Nyota wa timu ya soka ya Brazil Neymar hatoshiriki tena katika michuano ya kombe la dunia baada ya mfupa wake unaoshikana na uti wa mgongo ilivunjika katika mechi ya ushindi wa mabao mawili dhidi ya Colombia. Neymar akitokewa nje ya uwanja baada kuumia Neymar aligongwa upande wake wa nyuma dakika tano tu kabla ya mchuano […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KOMBE LA DUNIA 2014: NEYMAR, OSCAR WAICHINJA CROATIA

Neymar akishangilia bao lake la kwanza. Neymar akitupia bao la pili kwa mkwaju wa penalti. Marcelo (wa pili kulia) akijifunga…

 

11 years ago

Mwananchi

Costa hatarini kukosa fainali za Kombe la Dunia

Costa alicheza kwa dakika tisa mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa sababu ya kusumbuliwa na misuli.

 

11 years ago

Bongo5

FIFA yataja wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kombe la dunia 2014 ‘World Cup Golden Ball Award’, Neymar na Messi waingia

Nyota wa Argentina Lionel Messi na nyota wa Brazil, Neymar ni miongoni mwa wachezaji 10 bora katika michuano ya mwaka huu, waliotajwa kuwania nafasi ya kuwa mchezaji bora wa Kombe la dunia 2014. FIFA jana jioni (July 11) imetoa orodha ya majina ya wachezaji 10 waliotajwa kuwania tuzo hiyo. Wachezaji wengine 7 kwenye orodha hiyo […]

 

9 years ago

Bongo5

Meek Mill kukosa shavu la kuigiza filamu ya Will Smith kutokana na kesi yake

Meek-Mill

Rapper Meek Mill atashindwa kuigiza uhusika wake katika filamu ya Will Smith kutokana na hivi karibuni kupatikana na hatia ya kukiuka masharti ya muda wa matazamio aliopewa na mahakama kufuatia kesi ya miaka 15 iliyopita ya kumiliki silaha na madawa ya kulevya.

Meek-Mill

Rapper huyo wa Philadelphia, anatarajiwa kusomewa hukumu yake February 5.

Kwa mujibu wa mtandao wa Page Six, Meek Mill alikuwa amepanga kusafiri kwenda Hollywood November kujadili uwezekano wa kuigiza kwenye filamu iitwayo ’12...

 

10 years ago

Michuzi

WATANO WATHIBIKA KUFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA MAFURIKO

Watu watano wameripotiwa kupoteza maisha jijini Dar es Salaam kutokana na athari za mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jiji. Mvua hizo zinazonyesha kwa siku tatu mfululizo zimesababisha vifo vya watanzania hawa katika maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam kama ifuatavyo:
1.    Mnamo tarehe 06/05/2015 majira ya saa moja kamili usiku huko maeneo ya Magomeni Kinondoni jijini Dar es Salaam mtu mmoja jina SHABAN S/O IDD, Miaka 73, Mkazi wa Manzese alisombwa na maji ya mto...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je dunia imepata funzo gani kutokana na mlipuko wa Ebola DRC?

Ni miezi miwili imepita bila kuripotiwa kwa kisa cha Ebola katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

 

10 years ago

Vijimambo

WATU ZAIDI YA 2,000 WAFARIKI DUNIA KUTOKANA NA TETEMEKO LA ARDHI NCHINI NEPAL

 Siku moja baada ya kukumbwa na tetemeko kubwa la ardhi, Nepal imeshuhudia tetemeko lingine kubwa lililoelezewa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 2,000 katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kathmandu.  Maofisa nchini humo wamesema kuwa vikosi vya uokoaji vinaendelea na kazi ya kuwatafuta watu walionusurika, na wanahofu kuwa idadi ya watu waliofariki dunia inaweza kuongezeka.Wananchi wakiwa wamekusanyika katika maeneo ya wazi mitaani mjini Kathmandu baada ya kutokea kwa tetemeko hilo. Tetemeko hilo...

 

5 years ago

Michuzi

Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na COVID-19 nchini Italia yazidi ile ya China

Serikali ya Italia ilitangaza jana usiku kwamba idadi ya watu walioaga dunia kutokana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) nchini humo imefikia 3,405.

Taarifa iliyotolewa na serikali ya Italia imesema kuwa kesi nyingine mpya za maambukizi ya watu 5322 pia zilisajiliwa katika masaa 24 yaliyopita nchini humo na kuongeza kuwa, hadi kufikia jana jioni watu 41,035 walikuwa wameambukizwa virusi vya corona.

Takwimu hizo za kufariki dunia watu 3,405 nchini Italia kutokana na virusi vya corona zinaonyesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani