Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngassa nacheza kokote uwanjani

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amesema yuko tayari kucheza kokote atakapopangwa na kocha wake Hans Pluijm.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Ngassa asaini Sauz

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Wilbert Molandi,Dar es Salaam
HABARI ni kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amemalizana na Klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo. Hatua hiyo imekuja baada ya mchezaji huyo kusisitiza kuwa ataondoka klabuni hapo baada ya uongozi kutomlipia deni lake analodaiwa na benki.Wiki iliyopita kiungo huyo aliliambia gazeti hili kuwa yupo...

 

9 years ago

TheCitizen

Samatta, Ulimwengu, Ngassa out

Tanzanian TP Mazembe duo Mbwana Samatta and Thomas Ulimwengu as well as Mrisho Ngassa who ply his trade with South African Free State Stars have been left out of the Kilimanjaro Stars squad that will take part in the forthcoming Cecafa Senior Challenge Cup to be held in Ethiopia.

 

10 years ago

Mwananchi

Ngassa amwaga mboga

Winga wa Yanga, Mrisho Ngassa ni kama amemwaga mboga kwenye klabu hiyo baada ya jana kuiumbua akibainisha masaibu mbalimbali yaliyomfika tangu arejee klabuni hapo akitokea Azam na Simba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ngassa aibukia Yanga

mshambuliaji Mrisho Ngassa ameibukia katika klabu yake ya zamani, Yanga na kufanya mazoezi ili kujiweka fiti.

 

10 years ago

GPL

Tambwe amlilia Ngassa

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Wilbert Molandi,Dar es Salaam
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe, amemwambia kocha wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm kuwa, anataka kucheza na Mrisho Ngassa.Ngassa alianza na Tambwe kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya BDF na Mrundi huyo akafanikiwa kupachika mabao mawili. Mrundi huyo, akiwa anaichezea Simba, aliwahi kutamka kuwa anatamani siku moja kucheza na viungo...

 

10 years ago

Mtanzania

Ngassa gumzo Etoile

ngassaNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA wa timu ya Etoile Du Sahel, Benzarti Faouzi amempigia saluti mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa kuwa ni mchezaji mwenye kasi na uwezo mkubwa.

Ngassa alionyesha kiwango kikubwa wakati timu yake ikivaana na Watunisia hao kwenye mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika ulioisha kwa sare ya bao 1-1.

Akizungumza jijini Dar es Salaam mara baada ya mchezo huo kocha huyo alisema, Ngassa ameweza kuendana na kasi waliyokuwa nayo wachezaji wake na...

 

10 years ago

GPL

Ngassa atorokea Sauz

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Nicodemus Jonas
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, ametoroka nchini na kukimbilia kusikojulikana huku viongozi wake wakijua kuwa amekwenda Tanga kwa ajili ya msiba wa mamamkwe wake. Ngassa hajaonekana Yanga tangu Jumanne ya wiki iliyopita. Aliwaaga viongozi wa klabu hiyo kuwa anakwenda Tanga kuhudhuria msiba lakini taarifa zinadai ametoroka nchini. Chanzo chetu cha...

 

10 years ago

GPL

Ngassa atoa saa 24 Yanga

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Wilbert Molandi
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, ametoa saa 24, kumalizia deni analodaiwa shilingi milioni 45 na madai yake ya mishahara ya miezi miwili, ambayo kama hatalipwa, basi ataondoka kambini na kwenda nyumbani kwake. Timu hiyo imeweka kambi yake Tansoma Hotel, Kariakoo jijini Dar es Salaam, ikijiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya BDF XI FC ya...

 

11 years ago

GPL

Ngassa avamiwa na mashabiki Arusha

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa. Na Sweetbert Lukonge, Arusha
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, jana alikuwa ndiye gumzo kubwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini hapa, huku mashabiki wakimvamia mara baada ya mchezo wa timu yake dhidi ya JKT Oljoro ambao ulimalizika kwa Yanga kupata ushindi wa mabao 2-1. Ngassa ambaye katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara alifunga bao moja, almanusura ajeruhiwe na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani