NGUZO YA UMEME YADONDOKEA NYUMBA MKWAJUNI KINONDONI
Nguzo ya umeme ikiwa juu ya paa baada ya kuanguka leo huko Mkwajuni, Kinondoni. Mkazi wa jijini akipita jirani na nguzo hiyo iliyoanguka. Nguzo inavyoonekana kwa…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV03 Dec
Zaidi ya nyumba 300 zakatiwa umeme Kinondoni
Shirika la Umeme Tanesco mkoa wa Kinondoni Kaskazini umezikatia umeme nyumba zaidi ya mia tatu zilizobainika kuhujumu miundombinu kwa kujiungia umeme kinyume cha sheria ili waweze kutumia umeme bila malipo yoyote.
Operation hiyo ambayo imeanza tangu mwaka 2011 imelenga kukomesha vitendo vya uhujumu miundombinu ya umeme ili kuwawezesha wananchi kunufaika na rasilimali hiyo kwa maendeleo yao..
Wakaguzi hao wakiwa katika mtaa Oyerstabay kata Msasani barabara ya Mkadini nyumba Prot no; 63...
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Mvua yaangusha nguzo 35 za umeme
MVUA iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo ikiambatana na kimbunga, imeangusha nguzo 35 za Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kusababisha ukosefu wa umeme kwa wilaya za Handeni na Kilindi, mkoani...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Nyumba zilizopo kwenye Bonde la Mkwajuni, Dar zabomolewa
Wakazi waishio katika Bonde la Mkwajuni leo wamebomolewa nyumba zao ikiwa ni mwendelezo wa bomoabomoa inayoendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Baadhi ya wananchi waliokubwa na kadhia hiyo wamepaza sauti zao juu ya kuvunjiwa nyumba zao huku wakilalamika kuwa hawakupewa taarifa yoyote ya kuwataka wahame eneo hilo kutoka uongozi wa serikali ya mtaa huo.
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Nguzo za zege kuleta neema ya umeme
UPATIKANAJI wa umeme nchini umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu hali inayorudisha nyuma maendeleo. Tatizo hilo la upatikanaji wa umeme linatokana na miundombinu duni toka uhuru wa Tanzania Bara hadi...
11 years ago
GPLNGUZO ZA UMEME ZILIZOKAA KIHATARI KATIKA MITAA YA DAR
10 years ago
MichuziSerikali yajipanga kutumia nguzo za zege kusambaza umeme
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QEK8-Bk_bIY/U_cUrCiMNzI/AAAAAAACn2Q/udJqeJK73eQ/s72-c/1.jpg)
Umeme wa uhakika ndiyo nguzo ya maendeleo ya uchumi nchini — IPTL
![](http://4.bp.blogspot.com/-QEK8-Bk_bIY/U_cUrCiMNzI/AAAAAAACn2Q/udJqeJK73eQ/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-pXWbG8ksrqk/U_cUtFa72MI/AAAAAAACn2c/yS4Lt7JfRE4/s1600/4.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eEwTMoY1__E/XsOJCRSRSaI/AAAAAAALqvI/9TJkXKzJPHQZhB7pHzZh4-CLxsbVZFihACLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
Dkt. Kalemani: Lipieni tujue idadi ya wateja tusambaze nguzo tuwawashie umeme!
![](https://1.bp.blogspot.com/-eEwTMoY1__E/XsOJCRSRSaI/AAAAAAALqvI/9TJkXKzJPHQZhB7pHzZh4-CLxsbVZFihACLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B1.jpg)
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ( kulia) akiwasha umeme katika Kijiji cha Bugwego Kata ya Bwongera, wilayani Chato mkoani Geita alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya usambazaji umeme vijijini katika maeneo hayo, Mei 18,2020.
![](https://1.bp.blogspot.com/-4SL3BOVfGL8/XsOJCvp8tgI/AAAAAAALqvM/Qda2qM4gjdMnHj6eRewK1l9ljuQpLuRHACLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B2.jpg)
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani(kushoto),akizungumza na mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Rusungwa Kata ya Nyamirembe,Wilayani Chato,mkoani Geita baada ya kuwasha umeme katika nyumba yake alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya usambazaji umeme vijijini...
9 years ago
Dewji Blog18 Oct
Wananchi wazuia usimikaji wa nguzo za minara ya umeme wa 400KV, Msigiri Iramba, hawajalipwa fidia
Kijiko cha kampuni inayojenga nguzo za umeme za 400KV kutoka Shinyanga – Singida (KEC) kikifukia mashimbo ambayo tayari yalikuwayamechimbwa kwa ajili ya kusimika minara katika kijiji cha Misigiri Kata ya Ulemo Wilayani Iramba, kutokana na wananchi 17 kutolipwa fidia za mashamba yao na shirika la ugavi wa umeme TANESCO.
Mfanyakazi wa Kampuni ya KEC wakishangaa eneo la Site iliyozuiwa kusimikwa minara na wananchi wa kijiji cha Misigiri.
Mwenyekiti wa kijiji cha Misigiri Nelson Kiula...