Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NGWEA TWITTER TRIBUTE


Tarehe 28.05.2013 Tanzania ilipoteza mmoja wa wasanii aliekua na mashabiki wengi nchini Tanzania na Africa Mashariki, Albert Mangwea. Mbali na kua na muziki mzuri Albert mangwea alikua ni mtu aliependa sana ku’socialize na watu kwenye social networks sanasana twitter na katika kumbukumbu ya miaka miwili ya kifo chake tunakuletea baadhi ya tweets za Albert Mangwea alizo’tweet kipindi cha uhai wake na tungependa kuiita hii ‘NGWEA TWITTER TRIBUTE’.

Ifuatayo ni collection ya tweets za marehemu...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Quartz

Elliott Management to oust Twitter CEO Jack Dorsey? Twitter reacts

Elliott Management to oust Twitter CEO Jack Dorsey? Twitter reacts  QuartzRepublican mega-donor buys stake in Twitter and seeks to oust Jack Dorsey – report  The GuardianNew Twitter Investor May Remove Bitcoin Advocate Jack Dorsey as CEO - CoinDesk  CoinDeskElliott looks to remove Jack Dorsey as Twitter chief executive  Financial TimesJack Dorsey: Billionaire Investor ‘Wants to Oust Twitter CEO’ Over His Planned Move to Africa  Sputnik InternationalView Full coverage on Google...

 

11 years ago

GPL

NGWEA KUKUMBUKWA LEO

Stori: Mwandishi Wetu
STAA wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’ leo anatarajiwa kufanyiwa shughuli ya kumbukumbu ya kifo chake. Habari kutoka ndani ya familia ya Ngwea zinasema kuwa, shughuli hiyo itafanyika leo Mei 28, nyumbani kwao Morogoro ikiwa ni mwaka mmoja timilifu tangu afariki dunia. Staa wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’. Ngwea alifariki dunia Mei 28, mwaka jana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mswaki kuomba baraka kumuiga Ngwea

MTAYARISHAJI wa muziki wa kizazi kipya nchini, anayejulikana kwa jina la ‘Mswaki’ kutoka Studio ya Black Curtains amesema anatarajia kwenda mjini Morogoro kumuona mama mzazi wa marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’...

 

10 years ago

GPL

NGWEA FEKI AGOMBEA MAITI YA MAMA’KE

Stori: Gabriel Ng’osha
Kijana Mohamed Said almaarufu Ngwea feki, anayefananishwa na aliyekuwa staa wa Bongo Fleva, marehemu Alberth Mangweha ‘Ngwea’, ameingia katika mzozo mkali na ndugu zake akidaiwa kugombea maiti ya mama yake mzazi, Mariamu Enock (54). Kijana Mohamed Said almaarufu Ngwea feki. Kwa mujibu wa chanzo chetu, tukio hilo lilijiri kwenye makazi ya familia hiyo, Tandale, Dar hivi karibuni...

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

PADRI AKUTA TUNGULI KABURINI KWA NGWEA

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
Ooo…Nooo! Wakati hati ya kifo cha aliyekuwa rapa bora Bongo, marehemu Albert Keneth Mangweha ‘Ngwea’, ikiendelea kushikiliwa nchini Afrika Kusini alikokutwa na umauti mwaka jana, kwenye kaburi lake kumekutwa tunguli zilizozungushiwa sanda, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica, Kihonda mkoani Morogoro, Octavian Msimbe...

 

10 years ago

GPL

WEMA, AUNT KICHEKO KABURINI KWA NGWEA

Stori: Musa Mateja
INAWEZEKANA ilikuwa utani? Au ‘waliamka’ nazo?! Kweli binadamu anaweza kuvunjika mbavu (kicheko) juu ya kaburi la mpendwa wake? Mh! Mastaa wa Bongo, Wema Sepetu na shostito wake, Aunt Ezekiel wakiangusha kicheko katika kaburi la marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’. Lakini imetokea! Wakati dunia ikisherehekea ujio wa mwaka mpya wa 2015, mastaa wa Bongo, Wema Sepetu na shostito wake,...

 

11 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA NGWEA: MGENI RASMI ACHAFUA HALI YA HEWA

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
JAMBO limezua jambo! Katika hali ya kushangaza, mgeni rasmi katika shughuli ya kumbukumbu cha kifo cha aliyekuwa staa wa muziki wa Hip Hop Bongo, Albert Mangwea ‘Ngwea’ amejikuta akichafua hali ya hewa. Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Morogoro, Mourice Masala anayedaiwa kuchafua hali ya hewa katika kumbukumbu ya marehemu Albert Mangwea ‘Ngwea’. Tukio hilo lililoibua...

 

11 years ago

GPL

NGWEA KUENZIWA NA BONGE LA SHOO DAR LIVE SIKU YA KESHO

Marehemu Albert Mangweha. BAADA ya kusubiriwa kwa hamu, kesho tarehe 8, Juni ndiyo siku ambayo mastaa kibao watadondoka katika jukwaa la Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar kupiga shoo kali ya kumuenzi legendary wa muziki wa Hip Hop Bongo, Albert Mangweha. Mratibu wa shoo hiyo, Luqman Maloto amesema listi itakayoshuka jukwaani itaongozwa na TID, Chid Benz, Mchizi Mox, Nako 2 Nako, Geez Mabovu, Dark Master, M2 The P, Josline,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani