Mswaki kuomba baraka kumuiga Ngwea
MTAYARISHAJI wa muziki wa kizazi kipya nchini, anayejulikana kwa jina la ‘Mswaki’ kutoka Studio ya Black Curtains amesema anatarajia kwenda mjini Morogoro kumuona mama mzazi wa marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi09 Jul
MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI ATUA TANZANIA KUSAKA KURA, AKUTANA NA MAMA MARIA NYERERE KUOMBA BARAKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-haIr6xEyLBc/U72XUezmeOI/AAAAAAAAn5Y/Wnsyr7o3SDM/s1600/1.+Kinana+akimlaki+mgeni.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-qJTvY19ZL28/U72XW3Pw-bI/AAAAAAAAn5k/tIlK0AVuRJQ/s1600/2.+Mgeni+akimsalimia+Nape.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XOPcP3wzQ8g/VEYZ2Xytr3I/AAAAAAAGsIc/otP9N3qQdLw/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
Update ya msiba wa MAREHEMU REHEMA RAMADHANI BARAKA, mdogo wake mwenyekiti wa ASET BARAKA MSIILWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XOPcP3wzQ8g/VEYZ2Xytr3I/AAAAAAAGsIc/otP9N3qQdLw/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
Ifuatayo ni update ya msiba wa mdogo wake Mwenyekiti wa African Stars Entertainment (ASET) Baraka Msiilwa, Marehemu Furaha Ramadhani Baraka, kilichotokea wikiendi iliyopita huko Ubelgiji.
Taarifa ni kwamba mwili wa Marehemu mdogo wetu Furaha unaondoka Brussels kesho usiku kwenda Zurich. Utalala Zuruch na kusafirishwa Jumatano Asubuhi kwa ndege ya shirika la Swiss Air, na unatarajiwa kuwasili Dar es salaam siku hiyo hiyo ya Jumatano mnamo saa mbili usiku
Mazishi yamepangwa kufanyika siku ya...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Ni bajeti ya kutununulia mswaki, lakini tunang’olewa meno
NIMEKUWA nikijiuliza hivi ni lini Watanzania tutawawajibisha viongozi wetu ili waondokane na kuiga (Copy & Paste) bajeti ya kufikirika kwa kuongeza msururu, tarakimu au nadharia ya namba kiasi cha kuitwa...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-Qjyd3shObW4/VWolU0V1YPI/AAAAAAAAB1A/lqYbNdHxIlQ/s72-c/ngwea.jpg)
NGWEA TWITTER TRIBUTE
![](http://1.bp.blogspot.com/-Qjyd3shObW4/VWolU0V1YPI/AAAAAAAAB1A/lqYbNdHxIlQ/s400/ngwea.jpg)
Tarehe 28.05.2013 Tanzania ilipoteza mmoja wa wasanii aliekua na mashabiki wengi nchini Tanzania na Africa Mashariki, Albert Mangwea. Mbali na kua na muziki mzuri Albert mangwea alikua ni mtu aliependa sana ku’socialize na watu kwenye social networks sanasana twitter na katika kumbukumbu ya miaka miwili ya kifo chake tunakuletea baadhi ya tweets za Albert Mangwea alizo’tweet kipindi cha uhai wake na tungependa kuiita hii ‘NGWEA TWITTER TRIBUTE’.Ifuatayo ni collection ya tweets za marehemu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LvyzFEtHcP*hJjhuSQH8m8D7xYBac8YoNVIoouFCV3MmqmAhzSVGul7C-MogXiX3xm9qYwSV4nhu7zWkLEZVQjw/ngwea.jpg)
NGWEA KUKUMBUKWA LEO
11 years ago
CloudsFM09 Jun
ILE RECORD LABEL INAYOTENGEZA KAZI ZA WASANII ILIYO CHINI PRODUCER MSWAKI IMEKUFA
Ile record label iliyotengeneza kazi za wasanii kama Linex, Wayre, Maunda Zoro, Q Chillah, TID Mnyama hapa naizungumzia black curtains iliyokua chini ya wakurugenzi wawili Producer Mswaki na mwenzake imevunjika na badala yake Mswaki amejiunga na watu wengine na kuunda record label nyingine.
Mswaki akatoa deal kwa wasanii watakao kuwa tayari kufanya kazi na label hiyo iliyopo Mikocheni karibu na hospitali ya Kairuki.
10 years ago
Bongo523 Oct
Video: Tazama alichokisema 2 Chainz baada ya kutumia mswaki aghali duniani, unauzwa tshs milioni 8.4
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdiPExfrYkWXkm92ixZgRqFcC4pQM*-JtJVDk8T1CV7d9vs2GIxk1X8YLUIRqZIQTKsinIKAiUqaXnZDFrBQhrPw/FRONTRISASI.jpg)
WEMA, AUNT KICHEKO KABURINI KWA NGWEA
11 years ago
GPL07 Jun