Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Tazama alichokisema 2 Chainz baada ya kutumia mswaki aghali duniani, unauzwa tshs milioni 8.4

Unaweza kulipa $5,000 (takriban shilingi milioni 8.4) kununua mswaki tu? Bei ya mswaki huo wa Reinast ilimshangaza pia rapper huyo.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Floyd Mayweather aonesha jeuri ya ‘parking’ ya magari aghali duniani!!

Bondia Floyd Mayweather, 38, ambaye anajiandaa na pambano lake la mwisho dhidi ya Andre Berto litakalofanyika MGM Granda mjini Las Vegas, Septemba 12, ameonesha magari yake matano ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 10.6 kwa pamoja katika klabu yake ya masumbwi mjini Las Vegas, Nevada. Magari ya Mayweather yakiwa yamepaki nje ya klabu yake […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Video-Watu milioni 21 duniani ni watumwa:ILO

Shirika la kimataifa la wafanyikazi ILO,linaamini kwamba kuna takriban watumwa milioni ishirini na moja duniani.

 

9 years ago

MillardAyo

Alichokisema Mr. Blue kuhusu Diamond kutumia jina la Simba…(+Audio)

Hivi karibuni Msanii Diamond Platnumz amekuwa akilitumia jina la Simba kama moja ya a.k.a katika maeneo mbalimbali hasa akiwa kwenye stage, Lakini hapa nakukutanisha na Msanii Mr. Blue akielezea watu wanaotumia jina hilo. Unaweza kubonyeza Play hapa chini na ukapata full stori Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Alichokisema Mr. Blue kuhusu Diamond kutumia jina la Simba…(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Bongo5

Video: 2 Chainz – El Chapo Jr

2-chainz-el-chapo-jr

In between selling dabbing Santa Christmas sweaters, 2 Chainz orchestrates a prison break in the video for “El Chapo Jr” off his August mixtape Trapavelli Tre.

In the daring clip, El Chapo escapes from a high-security facility, past armed guards, through a tunnel, and into a getaway van, while a dabbing 2 Chainz dons a serape and declares himself king of the trap.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town!...

 

9 years ago

Bongo5

Video: 2 Chainz Ft. Jeezy – BFF (Remix)

CHAINZ

Rapper 2 Chainz na Young Jeezy (Jeezy) wameachia video mpya ya remix ya wimbo “BFF” moja ya ngoma zinazopatikana kwenye mixtape ya 2 Chainz, Trapavelli Tre.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: 2 Chainz — Lapdance In The Trap House

Rapper 2 Chainz ametoa video mpya kutoka kwenye mixtape yake ya ‘Trapavelli Tre’. wimbo unaitwa “Lapdance in the Trap House,” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Msanii wa Kenya atumia tshs milioni 12 kukodi helikopta kuhudhuria hafla za mwanae na mdogo wake, Nairobi na Eldoret kwa siku 1

Muimbaji wa Kenya, Esther Akoth maarufu kama Akothee ambaye hivi karibuni alikuwa nchini Tanzania, ametumia shilingi 700,000 za Kenya ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 12 za Tanzania kuhudhuria hafla mbili ikiwemo ya mwanae wa kike zilizofanyika siku moja. Esther Akoth aka Akothee akiwa kwenye helikopta aliyokodi Akothee ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Akothee […]

 

10 years ago

Vijimambo

ALICHOKISEMA RAY C BAADA YA KUKUMBWA NA ISHU YA PANYA ROAD


Jitiririshe hapa chini na alichokusema juu ya hawa wanaojiita panya rodi maana ni shida, Picha kwa hisani ya Millard Ayo .com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani