NI RAHISI MWANAMKE ALIYEAJIRIWA KUSALITI!
KWANZA nianze kwa kuwashukuru wasomaji wote wa safu hii, waliowasiliana na mimi kwa namna moja au nyingine, katika kubadilishana mawazo juu ya uhusiano. Ni faraja kugundua kwamba wapo watu wanaofuatilia unachokiandika na kisha kutaka kuchangia neno. Mada yangu ya leo inaweza kuniletea ugomvi na waajiriwa wenzangu wanawake, lakini panapo ukweli ni vyema tukasema, kwa sababu unasaidia katika kurekebisha na wakati mwingine hata...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMWANAMKE ALIYEMKWAPULIA 20,000/= MWANAMKE MWENZAKE ‘ATAITIWA’ DAR
11 years ago
GPLTUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI
11 years ago
Mwananchi13 Mar
‘Kutunga Kanuni haikuwa rahisi’
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Kubomoa ni rahisi kuliko kujenga
INASHANGAZA kuona jengo linachukua mwaka au zaidi kujengwa lakini halimalizi wiki kuvunjwa. Ndivyo yalivyo maisha yetu ya kila siku. wengi tunahangaika kuonekana vizuri mbele ya wengi lakini mwisho tunasahau kurekebisha...
11 years ago
GPLNJIA RAHISI ZA KUKUTENGENEZEA UTAJIRI
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Dk. Kawambwa: Uwekezaji wa elimu si rahisi
WIZARA ya Maji imeunda Kamati Maalumu kufanya tathmini ya kina, ili kujua chanzo cha matukio ya kukatika kwa huduma ya maji mara kwa mara katika mtambo wa maji wa Ruvu...
11 years ago
GPLNJIA RAHISI YA KUTENGENEZA UTAJIRI- 2
10 years ago
Bongo Movies20 Feb
Wastara:Hakuna Kazi Rahisi Duniani
MWIGIZAJI I wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema wale wote wanaofikiri sanaa ya kuigiza ni kazi rahisi, wamekuwa wakijidanganya.
Akizungumzia kuhusu ugumu wa kazi yake ya kuigiza, Wastara alisema katika dunia hakuna kazi nyepesi kwa sababu kila utakachokifanya kitahitaji matumizi ya akili na kufikiri.
“Kwa haraka haraka unaweza kusema kazi ya kuigiza ni nyepesi, lakini si kweli, lazima kila mmoja afahamu duniani kila kazi ina ugumu wake,” alisema Wastara.
Wastara alisema ugumu ambao...