Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nigeria yasema Mugabe amewatusi

Wizara ya mashauri ya nchi za nje ya Nigeria yamuelezea balozi wa Zimbabwe kwamba kusema Nigeria ina rushwa ni kuitusi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

IMF yasema Nigeria haihitaji usaidizi

Mkuu wa IMF amesema Nigeria kwa sasa haihitaji usaidizi wowote wa kifedha licha ya uchumi wake kuathirika na kushuka kwa bei ya mafuta duniani.

 

11 years ago

BBC

Mugabe comment offends Nigeria

Nigeria summons Zimbabwe's envoy to the country over President Robert Mugabe's comment that Zimbabwe is becoming "like Nigeria" in terms of corruption.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatutaahirisha Uchaguzi, yasema NEC

Dar es Salaam. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haina mpango wa kutaka kuiongezea muda Serikali ya Awamu ya Nne kwa kuahirisha Uchaguzi Mkuu ambao kikatiba hutakiwa kufanyika Oktoba ya mwaka wa uchaguzi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

NEC yasema wenzetu wametugeuka

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akemea hatua ya viongozi wa kisiasa kushawishi wafuasi wao wasiondoke eneo la kupigia kura huku akibainisha ni kinyume cha taratibu.

The post NEC yasema wenzetu wametugeuka appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

TCRA yasema haikamati wahalifu

Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi na mashirika kutoa taarifa za uhalifu kwa Jeshi la Polisi kila wanapobaini uhalifu katika mawasiliano yao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Tume yasema haitamkamata Odinga

Tume ya kupambana na rushwa Kenya imeondoa tishio la kumkamata kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa sababu ya maelezo kuhusu jumla ya $1.3bn alizosema zimetoweka serikalini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Iraq yasema haisaidiwi kukabili IS

Iraq yasema kuna ushahidi mdogo wa kuwepo kwa uungwaji mkono wa kimataifa katika vita dhidi ya wapiganaji wa IS

 

11 years ago

BBCSwahili

Uganda yasema haitishwi na vikwazo

Uganda imesema haitishwi na vikwazo ilivyowekewa na Marekani kwa kupitisha sheria dhidi ya mapenzi ya jinsia moja ikisema havina athari kubwa kwa nchi hiyo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani