Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA yasema haikamati wahalifu

Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi na mashirika kutoa taarifa za uhalifu kwa Jeshi la Polisi kila wanapobaini uhalifu katika mawasiliano yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Balloteli akerwa kufananishwa na wahalifu

Kuanzishwa kwa juhudi mpya za utafutaji wa ndege katika Bahari ya Hindi huenda kukatoa sura mpya ya matumaini hasa kutokana na ripoti kuwa huenda ndege hiyo ilibadilisha mwelekeo wa safari.

 

5 years ago

StarTV

Bodaboda watakiwa kuwafichua wahalifu.

JESHI la polisi mkoa wa kipolisi wa Tarime na Rorya limeutaka umoja wa wafanyabiashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia pikipiki maarufu kwa jina bodaboda wilayani Tarime mkoani mara kuwafichua waendesha pikipiki wanao fanya vitendo vya uharifu nyakati za usiku ukiwemo ubakaji wa wanawake na kukimbia na pesa za chenchi za wateja. kauli hiyo imetolewa na …

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kova awachimba mkwara wahalifu



NA FURAHA OMARYPOLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imewatangazia kiama wahalifu, ambapo imeamua kuwasaka kwa kutumia helkopta, baada ya kupata taarifa kwamba wamekimbilia mpakani mwa mkoa huo na wa Pwani.
“Tunaendelea na operesheni kali dhidi ya wahalifu, kwani tumepata taarifa kwamba kuna wahalifu wamekimbilia mpakani mwa Mkoa wa Dar es Salaam na  Pwani,” alisema Kamishna wa Kanda hiyo, Suleiman Kova.
Kamishna Kova aliyasema hayo mjini Dar es Salaam, alipozungumza na Uhuru kuhusiana na...

 

5 years ago

Michuzi

Wakimbizi wahalifu Waondolewe -Masauni

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameviagiza Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani Kigoma kuwaondosha na kuwafungulia mashtaka wakimbizi zaidi ya Elfu Moja waliotoroka kutoka katika Kambi mbalimbali za wakimbizi  na kwenda kufanya uhalifu nje ya makambi.

Naibu Waziri Masauni ameyasema hayo leo  wakati akiongea na wakimbizi kutoka nchini Burundi waliohifadhiwa katika Kambi ya Nduta iliyoko wilayani Kibondo, mkoani Kigoma huku ikihifadhi jumla ya wakimbizi na waomba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi walaumiwa kulinda wahalifu

JESHI la Polisi Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam limeshutumiwa kuwa limeshindwa kudhibiti vitendo vya uuzaji dola bandia karibu na Idara ya Habari (Maelezo), Dar es Salaam. Baadhi ya mashuhuda...

 

11 years ago

Ykileo

WAHALIFU MTANDAO WAITIKISA KOLOMBIA

Polisi Wa  kuzuia uhalifu Mtandao. Wakala unaofuatilia matumizi ya mitandao duniani (IAB) umebaini watumiaji wa intaneti nchini Kolombia wamekua ni asilimia 70 ya wakazi milioni 47 wa nchi hiyo huku ikibainishwa ya kuwa nchi hiyo ukuaji wa uhalifu mtandao umeendelea kukua kwa zaidi.


Mwaka 2011 Kolombia ilikua Nchi ya kwanza kuanzisha sera ya usalama mitandao katika ukanda wan chi za latini amerika kupitia baraza la taifa la nchini humo linaloshughulikia maswala ya sera za uchumi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahalifu mtandao ni kutungiwa sheria

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, imesema inaandaa sheria mpya ya usalama na uwezeshaji wa mitambo ya kuweka kumbukumbu ili kudhibiti matukio ya uhalifu wa mtandao.

 

10 years ago

Mwananchi

Boti ya kupambana na wahalifu yazinduliwa

Mkuu wa Wilaya ya Muleba Kagera, Lambris Kipuyo jana alizindua boti iendayo kasi ambayo itafanya kazi ya kupambana na majambazi katika visiwa vya Mazinga na Ikuza vilivyoko Ziwa Victoria.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wahalifu wageukia wizi wa barakoa

Hofu ya maambukizi ugonjwa wa corona yaendelea kote duniani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani