Bodaboda watakiwa kuwafichua wahalifu.
JESHI la polisi mkoa wa kipolisi wa Tarime na Rorya limeutaka umoja wa wafanyabiashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia pikipiki maarufu kwa jina bodaboda wilayani Tarime mkoani mara kuwafichua waendesha pikipiki wanao fanya vitendo vya uharifu nyakati za usiku ukiwemo ubakaji wa wanawake na kukimbia na pesa za chenchi za wateja. kauli hiyo imetolewa na …
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV22 Dec
Wananchi watakiwa kuwafichua wahalifu ili kupunguza vitendo hivyo
Jeshi la Polisi nchini limewataka wananchi kuchukia vitendo vya uhalifu kwa kuwafichua wahalifu ambao wanaishi nao majumbani mwao Ili kupunguza na kukomesha vitendo vya uhalifu hapa nchini
Wito huo umetolewa na naibu kamishina wa polisi na aliyekuwa kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza Charles Mkumbo katika sherehe ya kuwaaga maofisa watano wa polisi waliohamishiwa mikoa mbambali wakitokea mkoa wa kipolisi wa Tarime na Rorya na kuwakaribisha maaofisa watano waliohamia katika mkoa...
10 years ago
Habarileo01 Aug
Watakiwa kuwafichua wahamiaji haramu
WANANCHI wa mkoa wa Kigoma wametakiwa kutimiza kwa vitendo mkakati wa ulinzi wa nchi kwa kuwafichua wahamiaji haramu wanaoingia na silaha mkoani humo kwa nia ya kutenda vitendo vya uhalifu.
11 years ago
Habarileo14 Dec
Wananchi watakiwa kuwafichua viongozi wanaokiuka maadili
SEKRETARIETI ya maadili ya viongozi wa umma Kanda ya Ziwa imewataka wananchi kuwafichua viongozi wa umma wanaojihusisha na vitendo vya ukiukwaji wa maadili.
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Bodaboda Geita watakiwa kufuata sheria
JESHI la Polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Geita, limewataka waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda na baiskeli kuacha tabia ya kuingia kwenye barabara kubwa bila kufuata sheria za barabarani. Akizungumza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fYfFlYyWJ78/Xmey9N_Q76I/AAAAAAALie4/OvY-1_C0c40YczbRSUou36U5jJTL15T4ACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_0002.jpg)
MADEREVA BODABODA KARATU WATAKIWA KUACHA MABINTI WASOME, WATIMIZE NDOTO ZAO
Na Woinde Shizza,KARATU
MADEREVA bodaboda wametakiwa kujali mabinti, kwa kuwaacha wasome ili watimize ndoto zao na si kuwalaghai kwa kuwapa lifti pamoja na chipsi kwa wanapofanya hivyo wanawaharibia ndoto zao .
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Theresia Mahongo alipokuwa akihutubia katika mdahalo juu ya kupinga ukatili wa kijinsia katika uwanja wa Mnadani wilayani Karatu,mdahalo ulioandaliwa Shirika la World Education Initiative (WEI) Bantwana; waache wasome ambalo lipo chini ya...
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Wananchi tushirikiane kuwafichua majangili
WANYAMAPORI ni moja ya vivutio vya nchi yetu, kwani hutuingizia fedha nyingi za kigeni kutokakana na watalii hasa kutoka nje ya nchi. Lakini vitendo vya ujangili vinavyofanywa na baadhi ya...
10 years ago
Habarileo11 Sep
Waombwa kusaidia kuwafichua watumishi hewa
WAKUU wa Idara pamoja na viongozi wa taasisi za mifuko ya jamii nchini wameombwa kusaidia serikali kubaini wafanyakazi hewa wanaoendelea kupokea fedha za serikali, lakini wameshastaafu utumishi wao na wengine kufariki dunia.
10 years ago
Michuzi16 Dec
WAZIRI MAKALA AWATAKA WANANCHI KUWAFICHUA WEZI WA MAJI
Waziri Makala alisema kuwa serikali inafanya jitihada ya kuboresha huduma ya maji...
10 years ago
MichuziJAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA